Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

Mkuu omba upate hela usiwe na hela za mawazo,kuna watu wanafanya modification gari ibugie mafuta haswa yani sijui kuna maneno yakitaalamu wanasema gari inafanyiwa inakua inabugia mafuta na inakua na nguvu na inakimbia kweli kweli.

wanaofanya huo ujinga wapo kwenye teamtezza hii team wote wanatumia altezza humo ndio kuna wana wanamichezo hiyo magari yao yanafyonza haswaaa gusa link ukaone maajabu yao https://www.instagram.com/teamtezza/
 
Eti kupoteza hela [emoji3][emoji3]
 
Kuna moto mwengine kutoka Toyota. Hii ni one of the best Hot hatches kwa sasa, Toyota GR Yaris 1.6L 3cylinder yenye AWD system capable of 274hp making 0-100km in 5 secs.

View attachment 1630217
Watu walikua hawaamini hako ka vitz kwny drag race kamemburuza Golf gti kama mtoto,watu wanabaki wametoa macho tu.
 
Watu walikua hawaamini hako ka vitz kwny drag race kamemburuza Golf gti kama mtoto,watu wanabaki wametoa macho tu.
Watakuja kubishana hapa, huo ni moto mwengine mzee! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahah sahizi ni mwendo wa Turbochargers tu. Engine piston 3 ila inasepa kuliko naturally aspirated V engine.
Hahahah Jamaa wameona bora waende sambamba na wajerumani a.k.a wazee wa kujaza ma turbo/supercharger.
 
Hahahah Jamaa wameona bora waende sambamba na wajerumani a.k.a wazee wa kujaza ma turbo/supercharger.
Dharau zilizidi wameona wawastue kidogo wapinzani wa jadi. Aisee ile kitu inasepa mangi. Ntakuwekea clip uone balaa
 
Dharau zilizidi wameona wawastue kidogo wapinzani wa jadi. Aisee ile kitu inasepa mangi. Ntakuwekea clip uone balaa
Hahahah mnama hebu tumia hio mambo aisee,nione kanavyoachia watu manyoya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…