Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

Huku sada ni kupangiana maisha. Ukienda baharini, tafadhali ogelea kwenye kina unachomudu.
 
Hahahah sahizi ni mwendo wa Turbochargers tu. Engine piston 3 ila inasepa kuliko naturally aspirated V engine.
Kuna Ford Puma, nayo ina piston 3 na CC 1000 imewekwa Turbo Charger pia.
 
Inategemea unazungumzia engine ya tech ipi? Diesel au petrol,
Volkswagen Amarok option ya 2000cc turbo diesel, unapata vyote economy na speed .
 
Inaweza kuzidi hata kina benz.
Siyo kweli.

Angalia Volvo S90 na linganisha na Mercedes E Class, BMW 5 series na Audi A6. Kisha angalia Volvo XC60 linganisha na Mercedes GLC, Audi Q5 na BMW X3. Malizia na Volvo XC90 linganisha na Mercedes GLE, Audi Q7 na BMW X5.

Volvo zipo nafuu sana kuliko hizo zingine!
 
Altezza 3S-GE tu mziki wake si mchezo..mnyama anaita hatari...
 
Weka TECHNICAL REASONS za argument yako..!!! Ulichokiandika ni sawa na mimi nianzishe thread inayosema wewe ni siyo mtu bali ni nyoka...!!! Kama sijaweka facts za ninachokisema, basi unakuwa uzushi tu na uwongo
 
Dah..mkuu hapo unazungumzia gari ya kufanyia nini? Ya kupigia misele town au ya kwenda nayo Dodoma? 🤭 🤭😀
 
Sema huna pesa ya kuihudumia acha wenye pesa watumie hivyo vyuma.

Usilazimishe kununua kitu kama huna uwezo wa kukihudumia na matengenezo pindi ikipata shida
 
Usione uvivu kutafuta hela ili tukuite mzalendo
Tafuta hela ,panua mawazo zaidi
Tafuta hela zaidi
 
Unanunua gari lenye CC 3,000 na speed 240KPH alafu barabarani ulazimishwa kutembea maximum 80KPH?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…