Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kuna yenye CC 7200.Hivi kuna gari ya cc 8000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yenye CC 7200.Hivi kuna gari ya cc 8000
Mkuu yapo ma bugatti huko tena mpaka zaidi ya hapoKuna yenye CC 7200.
Unanunua gari lenye CC 3,000 na speed 240KPH alafu barabarani ulazimishwa kutembea maximum 80KPH?
Ni Jeep Charger Hellcat SRT.Mkuu yapo ma bugatti huko tena mpaka zaidi ya hapo
Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye 2,000cc.
Acha uongo! Ni mkoa gani huo mnaolazimishwa maximum speed iwe 80km/h?Unanunua gari lenye CC 3,000 na speed 240KPH alafu barabarani ulazimishwa kutembea maximum 80KPH?
Gazoo racingKuna moto mwengine kutoka Toyota. Hii ni one of the best Hot hatches kwa sasa, Toyota GR Yaris 1.6L 3cylinder yenye AWD system capable of 274hp making 0-100km in 5 secs.
View attachment 1630217
Wanaendelea bado Ila sasa anayefanya tunning Kali zaidi ni GRMN (Gazzoo Racing Meister of Nurburging) wapo chini ya Toyota nchini Ujerumani. Hawa wapo juu zaidi Kwa kuwa gari zao wanataka zifanye vizuri kwenye sakiti za Nurburg.Gazoo racing
Vp trd wameacha kutune gari zao wenyewe??
Still wana tune tuGazoo racing
Vp trd wameacha kutune gari zao wenyewe??
Sema 274??hp ni good sana kwa hii gariWanaendelea bado Ila sasa anayefanya tunning Kali zaidi ni GRMN (Gazzoo Racing Meister of Nurburging) wapo chini ya Toyota nchini Ujerumani. Hawa wapo juu zaidi Kwa kuwa gari zao wanataka zifanye vizuri kwenye sakiti za Nurburg.