Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Yule mama wakichaga sitomsahau kabisa alinipa elimu sana kwasababu kiumri mimi ni kama mwanae tu,ananiambia mwanangu usirudie tena mchezo wa kumchukua mwanamke usiemjua huku una kiasi kikubwa hivi tajiri ungemwambia nini akakuelewa au kwenu mungeuza kitu gani ili ulipe pesa za watu?Daah ni hatari sana boss. Huyu wa kwangu baada pale tulikuwa washkaji Sana akafungua biashara ya kuuza chips nikambust kimbinu nilivyohama ule mkoa tukapoteana asee.
Ilikuwa hatari sana mkuu.Duuh watu mnavisa ila 25m ya watu parefu mno asee
Kitombile kiliota nyasi [emoji23]Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?
Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.
Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa
Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
Lazm nikasurvey pande hzo nijioneeDuh pole sana kaka mie nililia kama mtoto yaani Kasumbalesa hapafai kule unaweza ukakutana na demu mzuri sana kumbe usiku anapaaa ni mwanga kabisa
Ht mkeo usimuamini kamwe, zingatia hili utanishukuru peponi tukikutanaNajua wakati huo kiwango chako cha ujinga kilikuwa juu sana.
Nina ela nyingi kiasi hicho silali na mwanamke simjui labda awe mke wangu wa ndoa.
mkumbushe jambo lingine muhimu tulilokubariana kwenye vikao vyetu.Ndo madhara ya kutohudhuria vikao vya wanaume, malaya hulali nae mpaka asubuhi unamgonga unamlipa anasepa au kama umemfata kwa danguro unaenda na chenji kamili na hubebi chochote cha thamani maana umala na wizi ni mapacha. Tunza afya yako na kibunda chako
🤣Kabisamkumbushe jambo lingine muhimu tulilokubariana kwenye vikao vyetu.
unapokuwa unato*"€^% mwanamke kahaba,hutakiwi kuvua nguo zote.suruali unaishusha usawa wa magoti halafu mengine yanaendelea na hutakiwi kumuonyesha ufundi. piga zako tako tatu ili mradi wazungu watoke.ufundi utauonyesha kwa mkeo.
mambo ya kuvua nguo zote na kuning'iniza suruali juu ya mlango hayatakiwi kufanyika unapokutana na kahaba. kufanya hivyo ni kutengeneza mazingira ya kupigwa sachi mwisho uibiwe mapene yote.
Usiende ni hatariLazm nikasurvey pande hzo nijionee
🤣Kuna watu muna nyota ya UMASIKINI,yaani 25M unalala na mbuzi humjui na unasimamiaha kabisa?
[emoji3][emoji3] ..dah wee jamaa falaa sanaa , yani umenichekesha sio poa "at jasho nusu ndoo " , iv unalijua jasho nusu ndoo mkuuUmenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.
Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.
Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".
Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
Mkuu haya mambo yaache tu yakupitie mbali, nilipata wenge sijawahi ona maisha yote😃😃😃[emoji3][emoji3] ..dah wee jamaa falaa sanaa , yani umenichekesha sio poa "at jasho nusu ndoo " , iv unalijua jasho nusu ndoo mkuu
dah nakubali kaka ..wacha tuchukue notes ..Mkuu haya mambo yaache tu yakupitie mbali, nilipata wenge sijawahi ona maisha yote[emoji2][emoji2][emoji2]
Sijawahi kurudia huo mchezo mpaka leo.dah nakubali kaka ..wacha tuchukue notes ..
Ushaambiwa mshahara wa dhambi ni mauti kwani ulitaka upate nini?Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?
Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.
Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa
Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.