Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

Daah ni hatari sana boss. Huyu wa kwangu baada pale tulikuwa washkaji Sana akafungua biashara ya kuuza chips nikambust kimbinu nilivyohama ule mkoa tukapoteana asee.
Yule mama wakichaga sitomsahau kabisa alinipa elimu sana kwasababu kiumri mimi ni kama mwanae tu,ananiambia mwanangu usirudie tena mchezo wa kumchukua mwanamke usiemjua huku una kiasi kikubwa hivi tajiri ungemwambia nini akakuelewa au kwenu mungeuza kitu gani ili ulipe pesa za watu?
 
Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?

Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.

Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa

Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
Kitombile kiliota nyasi [emoji23]
 
Ndo madhara ya kutohudhuria vikao vya wanaume, malaya hulali nae mpaka asubuhi unamgonga unamlipa anasepa au kama umemfata kwa danguro unaenda na chenji kamili na hubebi chochote cha thamani maana umala na wizi ni mapacha. Tunza afya yako na kibunda chako
mkumbushe jambo lingine muhimu tulilokubariana kwenye vikao vyetu.

unapokuwa unato*"€^% mwanamke kahaba,hutakiwi kuvua nguo zote.suruali unaishusha usawa wa magoti halafu mengine yanaendelea na hutakiwi kumuonyesha ufundi. piga zako tako tatu ili mradi wazungu watoke.ufundi utauonyesha kwa mkeo.

mambo ya kuvua nguo zote na kuning'iniza suruali juu ya mlango hayatakiwi kufanyika unapokutana na kahaba. kufanya hivyo ni kutengeneza mazingira ya kupigwa sachi mwisho uibiwe mapene yote.
 
🤣Kabisa
 
Umenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.

Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.

Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".

Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
[emoji3][emoji3] ..dah wee jamaa falaa sanaa , yani umenichekesha sio poa "at jasho nusu ndoo " , iv unalijua jasho nusu ndoo mkuu
 
Unawezaje kwenda ,Dr congo ,burudi na demu ghetto, unatafuta upenyo unamshikisha ukuta asepe zake

Mwili ukishatembea kilomita zakutosha kumwaga oil ,maramoja siinakutosha
 
tangu staff mwenzangu aibiwe posho yote ya safari (per diem) 3m na laptop nilibadilisha tabia
nikaanza kuwa naficha funguo usiku ila hii nilikuja kuacha baada ya kuchukua mmoja Songea usiku nikashtuka anahangaika kufungua mlango akiwa ashachukua hela na sim wakati huo funguo niliiweka chini ya mto aliolalia yeye mwenyewe.
saa hv nikimaliza tu nawaambia ngoja nikutafutie usafiri anaondoka nalala zangu kwa amani
 
Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?

Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.

Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa

Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
Ushaambiwa mshahara wa dhambi ni mauti kwani ulitaka upate nini?
 
Back
Top Bottom