Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?

Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.

Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa

Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
story yako inafanana na yule wa rwanda
 
Umenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.

Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.

Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".

Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.
Ulitakiwa umuoe
 
Kabisa alikuwa mtamu sana hadi nikapitiwa na usingizi kushtuka asubuhi demu hayupo
Mademu wa congo DRC wanawajua Watanzania kuwa ni wepesi kuibiwa hasa ukiwa mgeni, pia wabongo usingizi tunalala sana, pia mademu wa congo DRC wanapewa cover na askari wao ni michongo. Una afadhari angekusingizia umemla fasi ya nyuma kwa force ni nyoko wale mbwa.

Mi naenda sana huko kupambana na Uonevu, dhuluma na ufala kwenye harakati zangu.
 
Umenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi.

Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia. Asubuhi nikampa 50k akasema nimuongeze hela nikaanza kulialia njaa kwamba Sina kitu.

Akacheka Sana akaniambia "mkiibiwa mnaanza kulialia, kwenye begi umejaza mihela na usiku umelala Kama umekufa nimekagua mpaka na nguo nimetoa zote nje then nikarudishia. Ningeamua kuondoka si ningeenda kufungua hata biashara huko mbele kwa mbele".

Asee nilitoa jasho Kama nusu ndoo nadhani, ilibidi nimpe 300k Kama zawadi nje ya ile 50k.

Najua wakati huo kiwango chako cha ujinga kilikuwa juu sana.

Nina ela nyingi kiasi hicho silali na mwanamke simjui labda awe mke wangu wa ndoa.
 
Back
Top Bottom