Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #101
🤣🤣Ushaambiwa mshahara wa dhambi ni mauti kwani ulitaka upate nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Ushaambiwa mshahara wa dhambi ni mauti kwani ulitaka upate nini?
Funguo ya chumba ulichoweka vitu utaiweka wapi?Ulitolewa ushauri wa kibaharia humu ndani.
Ukienda ugenini, na ukachukua mwanamke; chukua vyumba viwili, kimoja weka vitu vyako vyote vya maana, funga nenda kalale na mwanamke chumba kingine.
🤣🤣🤣
Sasa kama ulitengeneza muungano na jambazi ulitegemea nini?Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?
Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.
Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa
Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
Sikujua kama ni jambaziSasa kama ulitengeneza muungano na jambazi ulitegemea nini?
Kuna jamaa mmoja alikuwa anasema hata ukifanya kazi ya kuua watu washamba, hutawamaliza. Dunia ya leo unaibiwa fedha na changudoa nyumba ya kulala? Ulidhani umeoa? Huu wizi hata wasukuma hawafanyiwi tena.Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?
Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.
Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa
Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
Nilimuamini kakaKuna jamaa mmoja alikuwa anasema hata ukifanya kazi ya kuua watu washamba, hutawamaliza. Dunia ya leo unaibiwa fedha na changudoa nyumba ya kulala? Ulidhani umeoa? Huu wizi hata wasukuma hawafanyiwi tena.
Pole kaka. Nadhani wewe bado ni mchanga kwenye haya mambo. Kanuni ya kwanza ya kulala na changu nyumba ya wageni ni kuficha kila kilicho cha thamani. Pia hakikisha mlango unafunga wewe na kuficha ufunguo sehemu asiyoona. Hili fanya hata kama umempeleka kwenye nyumba yako kwa sababu kuna wengine wanakulia timing na ukilala wanachukuwa vitu na kukimbia. Au anakuwa na kikosi cha majambazi ambao wanakuja kumsadia...Nilimuamini kaka
Kabisa asante kwa elimuPole kaka. Nadhani wewe bado ni mchanga kwenye haya mambo. Kanuni ya kwanza ya kulala na changu nyumba ya wageni ni kuficha kila kilicho cha thamani. Pia hakikisha mlango unafunga wewe na kuficha ufunguo sehemu asiyoona. Hili fanya hata kama umempeleka kwenye nyumba yako kwa sababu kuna wengine wanakulia timing na ukilala wanachukuwa vitu na kukimbia. Au anakuwa na kikosi cha majambazi ambao wanakuja kumsadia...
Ficha somewhere kwenye chumba utakacholala... ni rahisi kuficha fungua kuliko mabegi yako mkuu 😂😂😂😂
Kwa wabembeDuh pole sana kaka mie nililia kama mtoto yaani Kasumbalesa hapafai kule unaweza ukakutana na demu mzuri sana kumbe usiku anapaaa ni mwanga kabisa
Usilale na malaya ndaniUlitolewa ushauri wa kibaharia humu ndani.
Ukienda ugenini, na ukachukua mwanamke; chukua vyumba viwili, kimoja weka vitu vyako vyote vya maana, funga nenda kalale na mwanamke chumba kingine.
Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
📌🔨🔨
Asee miaka inakimbia hivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Most probable you meant hell.Kabisa yule demu alitaka kunipeleka heaven
😂Una bahati umeweka paragraph ya mwisho.
January tu hapoAsee miaka inakimbia hivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣