Kununua malaya kulitaka kunitoa roho DR Congo

Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?

Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.

Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa

Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.
Sasa kama ulitengeneza muungano na jambazi ulitegemea nini?
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa anasema hata ukifanya kazi ya kuua watu washamba, hutawamaliza. Dunia ya leo unaibiwa fedha na changudoa nyumba ya kulala? Ulidhani umeoa? Huu wizi hata wasukuma hawafanyiwi tena.
 
Nilimuamini kaka
Pole kaka. Nadhani wewe bado ni mchanga kwenye haya mambo. Kanuni ya kwanza ya kulala na changu nyumba ya wageni ni kuficha kila kilicho cha thamani. Pia hakikisha mlango unafunga wewe na kuficha ufunguo sehemu asiyoona. Hili fanya hata kama umempeleka kwenye nyumba yako kwa sababu kuna wengine wanakulia timing na ukilala wanachukuwa vitu na kukimbia. Au anakuwa na kikosi cha majambazi ambao wanakuja kumsadia...
 
Kabisa asante kwa elimu
 
Kwa maelezo yako inaonesha malaya huyo alikuwa na tabia ya wizi ndo maana pesa zako ukazikuta hazipo.
Swala la kuthibitisha uchawi wake sijaliona katika maelezo yako.
 
Back
Top Bottom