Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

watu wengi wenye tamaa za dunia hii wameamua kuwa watumwa wa shetani. pamoja na kuonekana kuwa na mali nyingi, ila wana shida balaa! Binafsi nimeamua kuwa mtumwa wa Yesu. hata kama tutapitia magumu neema yake inatufunika na tunakuwa na amani moyoni. tunasonga mbele na mwishoni tunaurithi uzima wa milele.

YESU NI MWOKOZI
 
Mimi nikendaga kariakoo au sehemu yoyote ya biashara ambayo inamazindiko lazima joto la mwili liwe juu sana

Kariakoo ni kuzimu
 
Ukapewa dakika 5 uyaone yaliyopo kwenye maduka na masoko utastaajabu.Upewe lile jicho La 7 lile utajua wachache wanaupata utajiri kihalali.Hapo Kariakoo maduka ni mengi sana,bila kwenda kwa Kalumanzira hutoboi.
Serikalini napo usipoiba au kula rushwa hutoboi mkuu.Wafanyakazi pekee wanaokula kihalali ni Walimu
 
kuna watu ukiwaambia hivyo hawaamini ,mm mara ya kwanza kuona msukule nilidhania utani,hadi ulipopotea ndipo nikashtuka.
Mkuu huyo fisi alifungwa kamba au yupo free?
 
Kweli kabisa...

Alafu atatokea mpumbavu anasema hakuna uchawi...
 
Kwa kifupi Sana Ni mzukule umeona ., HV mzee mbna una visanga hvyo


Itabidi tuwe wote tumfatilie mdg mdg jioni akifunga tukamfanyie show hukohuko tank. Bovu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha mi nikiona thread zako nafurahi tu

Sasa kama uko ulipigwa likibao na ukufanya kitu utamuweza master GENTAMYCINE si atakuvunja mbavu

Case ya wanga hiyo kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mwenyee nimeshangazwa na kitendo Cha kupigwa Kofi bila kurudisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mwenyee nimeshangazwa na kitendo Cha kupigwa Kofi bila kurudisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Utarudisha kofi kwa watu zaidi ya 20?,unataka kufa?.

Mimi kupigwa na hao watu siyo kwamba huyo tahira,zumbukuku,zwazwa na limbukeni anaweza kunibabahisha,nitamkung'uta hadi nimnyofoe mbupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…