Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jul 20, 2023 #101 Hoaxer said: Mama Mungi Ni mchaga piwa.halafu Kuna watu wanasema wachagga sio washirikina. Kumbuka mazezeta mengi yanapatikana Uru kuliko sehemu nyingine yoyote Tanzania. Click to expand... Wachaga wa sasa hivi ni wavivu, wanatumia ndumba sana.
Hoaxer said: Mama Mungi Ni mchaga piwa.halafu Kuna watu wanasema wachagga sio washirikina. Kumbuka mazezeta mengi yanapatikana Uru kuliko sehemu nyingine yoyote Tanzania. Click to expand... Wachaga wa sasa hivi ni wavivu, wanatumia ndumba sana.
NACKO JF-Expert Member Joined Oct 27, 2022 Posts 1,298 Reaction score 2,514 Jul 20, 2023 #102 UMUGHAKA said: Yaani mkuu ukimueleza mtu hawezi elewa mpaka ajionee mwenyewe Click to expand... yap ,..na ndio sababu mi mikasa ya mauzauza huwa naamua kuvunga tu, maana mtu anaweza kukuona mzinguaji tu....
UMUGHAKA said: Yaani mkuu ukimueleza mtu hawezi elewa mpaka ajionee mwenyewe Click to expand... yap ,..na ndio sababu mi mikasa ya mauzauza huwa naamua kuvunga tu, maana mtu anaweza kukuona mzinguaji tu....
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Jul 22, 2023 #103 Hivi hapo kariakoo mlokoke anaemtegemea Yesu peke yake anaweza akawa na fremu na akatoboa? Ataweza kucheza mchezo wa maisha?
Hivi hapo kariakoo mlokoke anaemtegemea Yesu peke yake anaweza akawa na fremu na akatoboa? Ataweza kucheza mchezo wa maisha?
Apeche alolo JF-Expert Member Joined Apr 14, 2023 Posts 2,517 Reaction score 5,533 Jul 30, 2023 #104 kwani mpe,mba hujamtafuta.