Vinamsaidia kuendelea na ubishi hadi leo.Ukraine imepewa vifaru kutoka Marekani,UK,German,nk mf.Abraham(US),Leopard-2(Germany),nk nenda kamwulize Zelensky vimemsaidia nini.
Ubishi gani mkuu wakati Mabwana zake wanafikiri kumshauri akubali kuachia maeneo yaliyotekwa na Russia?Vinamsaidia kuendelea na ubishi hadi leo.
Sielewi akili yako ikoje. Kwa hiyo leo hii Museveni akivamia Tanzania eneo lililo kaskazini mwa mto Kagera kama alivyofanya Amini miaka ile wewe utasema tukubali yaishe Museveni achukue eneo "alilokwisha teka".Ubishi gani mkuu wakati Mabwana zake wanafikiri kumshauri akubali kuachia maeneo yaliyotekwa na Russia?
Vifaru vinapigwa na ant-tank missiles! Hivyo vilipigwaje na vifaru vya Abraham na Leopards tanks?
zana za kijeshi za kichina ni low quality hilo halina ubishi na ni proven beyound doubt. Nchi kibao za asia na s.america wanalia kwa kutapeliwa na mchina jiandae najua watakuja wachina wa jf na shura yao ya maimumu wakiwa na mipovu kama yote juu yako🤣😂😅Angalia vifaru vya China
View: https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw
Angalia vifaru vya urusi
View attachment 3117281
Fuatilia kinachoendelea kwenye Uwanja wa vita huko Ukraine!Sielewi akili yako ikoje. Kwa hiyo leo hii Museveni akivamia Tanzania eneo lililo kaskazini mwa mto Kagera kama alivyofanya Amini miaka ile wewe utasema tukubali yaishe Museveni achukue eneo "alilokwisha teka".
Una akili finyu sana kuhusu utaifa iwapo unadhani ni sawa kwa Ukraine kuachia eneo lao lilovamiwa na urusia kwa madai kuwa limetekwana Urusi. Urusi ni nchi yenye eneo kubwa sana duniani, wanataka nini kwenye ardhi ya Ukraine kama siyo uchokozi na kiburi tu?
Angalia vifaru vya China
View: https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw
Angalia vifaru vya urusi
View attachment 3117281
Vimechakazwa vibaya sanaAngalia vifaru vya China
View: https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw
Angalia vifaru vya urusi
View attachment 3117281
Hivyo hataweza kuua hata sisimiziMkuu Kuna vingine hutengenezwa nyumbu Kibaha huku.
Sijui una maoni gani kuhusu hivyo?
Hujui vimemsaidia nin ? Urusi ilikuwa nje ya Kyiv ila ss hv wapo wap ?Ukraine yupo ndan ya Urusi Sasa , hv unahitaj kuelelezwa hata hizo taarifa Kila mtu anajuwaUkraine imepewa vifaru kutoka Marekani,UK,German,nk mf.Abraham(US),Leopard-2(Germany),nk nenda kamwulize Zelensky vimemsaidia nini.
Hoja yako ni nini hasa? Kazi ya anti tank ni kulipua kifaru. Au unamaanisha vifaru toka Marekani na Ulaya vikipigwa na anti tank ya Urusi aina ya 9M133 Kornet haviungui?Angalia vifaru vya China
View: https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw
Angalia vifaru vya urusi
View attachment 3117281