Kuna watu mnaongea tu kama mashabiki oyaoya wa Simba na Yanga na hata hamjui mnachoongea.
Vifaru vya China kama VT-4 ni vya kisasa, sio vya gharama kubwa kutokana na production run kuwa kubwa na sharing of technology na PLO's MBT, vina active protection system ukitaka package yake unapewa, vinaweza fyatua kombora kupitia kwenye cannon yake 120mm, vina injini moderst ya 1200HP, transmission sio hydropneumatic sababu maintenance yake ni kubwa nchi zetu hizi hazimudu, vina automatic loader, vina composite armour na armour plates unaongezewa ukitaka, vina electronics za kisasa kama NV na shabaha vinalenga vizuri sana.
VT-4 inaizidi mbali type yoyote ya T-74 ya Urusi, T-80 Oplot ya Ukraine na early T-90 za Urusi. Early Leopard 2 za Ujerumani, Challenger za UK na Abrams za Marekani hizi walizopewa Ukraine hazisogei popote kwenye uwezo wa VT-4.
Hamna anayeweza nibishia labda kwa maneno ya vitenge na khanga. Kwenye open details, facts, performance kwenye tests hasa za Southern Asian countries hakuna anayeiacha VT-4 achukue hivyo vifaru nilivyotaja.