Kununua Vifaru vya Kivita Kutoka China na Urusi ni kujiandaa kushindwa vita

Kununua Vifaru vya Kivita Kutoka China na Urusi ni kujiandaa kushindwa vita

Mchina hata chai yake fake,rice fake.
Mi hata Mchina mwenyewe nikimuona najiuliza huyu ni binadamu au famna.
Sasa we kweli ukanunue kifaru kwa mchina alafu ukutane vitani na Israel si atakuoa kabisa.
Mrusi at least
Kasome meseji #25 achana na hizo habari za propaganda alizookota bwana Kichuguu kutoka YouTube
 
Kuna watu mnaongea tu kama mashabiki oyaoya wa Simba na Yanga na hata hamjui mnachoongea.

Vifaru vya China kama VT-4 ni vya kisasa, sio vya gharama kubwa kutokana na production run kuwa kubwa na sharing of technology na PLO's MBT, vina active protection system ukitaka package yake unapewa, vinaweza fyatua kombora kupitia kwenye cannon yake 120mm, vina injini moderst ya 1200HP, transmission sio hydropneumatic sababu maintenance yake ni kubwa nchi zetu hizi hazimudu, vina automatic loader, vina composite armour na armour plates unaongezewa ukitaka, vina electronics za kisasa kama NV na shabaha vinalenga vizuri sana.

VT-4 inaizidi mbali type yoyote ya T-74 ya Urusi, T-80 Oplot ya Ukraine na early T-90 za Urusi. Early Leopard 2 za Ujerumani, Challenger za UK na Abrams za Marekani hizi walizopewa Ukraine hazisogei popote kwenye uwezo wa VT-4.

Hamna anayeweza nibishia labda kwa maneno ya vitenge na khanga. Kwenye open details, facts, performance kwenye tests hasa za Southern Asian countries hakuna anayeiacha VT-4 achukue hivyo vifaru nilivyotaja.
Mkuu upo vizuri, hiyo ID yako ni jina la kifaru cha Mrusi nimepata kujua wiki chache zilizopita nilikuwa na M Ukraine mmoja kwenye story za vita akagusia hiyo
 
VT-4 ni toleo la 2022

Mwaka 2024 kampuni ya NORINCO ya China wametoa vifaru vipya GEN IV light tanks

Baadhi ya features zake
  • 40 tons with a 2-3 man crew in hull capsule and an unmanned turret​
  • 105mm gun and automatic loading mechanism.​
  • Hydropneumatic suspension, hybrid drive with the option of a silent watch​
  • Radar ×4​
  • Modular armor​
  • APS system​
  • AESA radars​
  • Drone jammer and RCWS on the turret roof to combat UAV​
Soon zitaingia kwenye mass production
 
Unaongelea Vifaru vinavyochomwa na Drones za Dola 600?!
Risasi ya rifle inagharimu armoury za majeshi mengi duniani chini ya shilingi 3,000 TZS.

Kumfundisha mwanajeshi wa Marekani basic training awe infanry ni zaidi ya 20M TZS. Kwahiyo Marekani iache kutumia 20M kufundisha mwanajeshi kisa anaweza uwawa na risasi ya elfu tatu?

"Sizai kwa sababu nikizaa nitalea kwa gharama ila mtoto anaweza gongwa na bodaboda afe nitaingia hasara".

"Sipeleki mtoto shule anaweza graduate chuo tu akachomwa kisu kinachouzwa elfu moja na kibaka, bora nikae nyumbani akikua awe beki tatu kuliko nitumie mamilioni alafu aje afe"
 
VT-4 ni toleo la 2022

Mwaka 2024 kampuni ya NORINCO ya China wametoa vifaru vipya GEN IV light tanks
VT-4 au MBT 3000 nayo ni baada ya VT-2 ambazo Tanzania tunazo chache na Chad wanazo.

VT-4 ni main battle tank, ni export only tank. China wana light tank zao ni Type 15 ambazo hizi not for export ila export variant yao ni VT-5.

Hiyo Gen. IV light tank sijui unaisema ipi ila kwa descriptions za Wachina wao wanadai kuna generations nne za vifaru. Ila superpowers wengi huhesabu generations tatu.
 
Mkuu upo vizuri, hiyo ID yako ni jina la kifaru cha Mrusi nimepata kujua wiki chache zilizopita nilikuwa na M Ukraine mmoja kwenye story za vita akagusia hiyo
T-14 Armata mara ya kwanza ilionyeshwa live kwenye TV mwaka 2015 kwenye maadhimisho ya Moscow Victory Day Parade ikiwa ni miaka 70 tangu majeshi ya USSR yamalize battle na Nazi Germany.

Gwaride ilikuwa bora sana sijapata kuiona nzuri kama ile. Siku hiyo nilitoroka shule ili nisijetazama marudio. Sasa Shoigu akatudanganya watazamaji kwamba T-14 Armata ni balaa na soon kitakuwa introduced kwenye jeshi. Zilikuwepo Armata universal platforms, ikawepo Bumerang na silaha nyingine zote hizi hadi leo sijawahi ziona zikiwa introduced.

Miaka ya 2010s katikati msururu wa hopes kwa Urusi ulikuwa mwingi. Su-57 kipindi inaitwa PAK FA, kuna PAK DA sijawahi ona hata prototype, kuna Su-70 Okhotnik hiyo prototype nimeona wameidungua wenyewe juzi.
 
VT-4 ni main battle tank, ni export only tank. China wana light tank zao ni Type 15 ambazo hizi not for export ila export variant yao ni VT-5.
Type 15 ni 3rd gen light tank, sasa hivi wameziupgrade zina anti-FPV drones cope cages

Lakini hiyo niliyozungumzia ni 4th gen light tank, bado haijaanza mass production. Ila features zake ni zile itakuja kuwa game changer
 
Sielewi akili yako ikoje. Kwa hiyo leo hii Museveni akivamia Tanzania eneo lililo kaskazini mwa mto Kagera kama alivyofanya Amini miaka ile wewe utasema tukubali yaishe Museveni achukue eneo "alilokwisha teka".

Una akili finyu sana kuhusu utaifa iwapo unadhani ni sawa kwa Ukraine kuachia eneo lao lilovamiwa na urusia kwa madai kuwa limetekwana Urusi. Urusi ni nchi yenye eneo kubwa sana duniani, wanataka nini kwenye ardhi ya Ukraine kama siyo uchokozi na kiburi tu?
Wanataka waongeze liwe kubwa zaidi na mpaka Sasa washafanikiwa
 
Back
Top Bottom