Mleta Uzi either Kwa kujua ama kutokujua yeye ni miongoni mwa wale watu waliokula na kushiba vyema chakula dhaifu Cha Western propaganda ubongoni mwake na sio tumboni. Hivyo ameamua hadharani bila Soni kutuhubiria na kutulisha
ubora wa kipropaganda kutoka Umagharibi juu ya ubora wa silaha zao ambazo ni "unbeatable".
Na ndio maana ametuletea andiko akituelekeza si vyema kununua silaha za kirusi ama kichina utashindwa vita kirahisi.
Amesahau kuwa hamna silaha Ina ufanisi kiubora kwa asilimia mia Moja.
Aghalabu silaha Bora kabisa za kimagharibi kama HiMARS( US), Leopard tank(German), M1 Abrams,( US) Challenge 2( UK) zimekuwa zikidhalilika vibaya huko Ukraine si kwasababu ni dhaifu sana. No! Bali zimekutana na silaha Bora zaidi dhidi Yao.