Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Nilikuwa nadhani Platnum Members wanaakili 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Umri wako miaka mingapi mleta mada?Angalia vifaru vya China
View: https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw
Angalia vifaru vya urusi
View attachment 3117281
Muwe mnatumia akili ninyi.Basi kanunue vifaru china upeleke kwenye uwanja wa mapambano halisi uone kipigo utakachopokea.
Kwakweli mifano inaonekana mambo anayofanya Israel pale kuzuia mabomu juu kwa juu ..ni maajabu makubwa nchi nyingi zitakuwa zinapiga hosi kimyakimya USA kupata silaha isee.Angalia vifaru vya China
View: https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw
Angalia vifaru vya urusi
View attachment 3117281
Hujui kitu Dogo. Ungenyamaza kuwaachia watu wenye uelewa.Hizo computer games na wewe mleta mada ukabeba kichwa kichwa kuwa ni vifaru vya China
Sasa kama crew umetoa nyunzi nzito hivi utashangaa anakuja Lucas Mwanshamba kukubishiaKuna watu mnaongea tu kama mashabiki oyaoya wa Simba na Yanga na hata hamjui mnachoongea.
Vifaru vya China kama VT-4 ni vya kisasa, sio vya gharama kubwa kutokana na production run kuwa kubwa na sharing of technology na PLO's MBT, vina active protection system ukitaka package yake unapewa, vinaweza fyatua kombora kupitia kwenye cannon yake 120mm, vina injini moderst ya 1200HP, transmission sio hydropneumatic sababu maintenance yake ni kubwa nchi zetu hizi hazimudu, vina automatic loader, vina composite armour na armour plates unaongezewa ukitaka, vina electronics za kisasa kama NV na shabaha vinalenga vizuri sana.
VT-4 inaizidi mbali type yoyote ya T-74 ya Urusi, T-80 Oplot ya Ukraine na early T-90 za Urusi. Early Leopard 2 za Ujerumani, Challenger za UK na Abrams za Marekani hizi walizopewa Ukraine hazisogei popote kwenye uwezo wa VT-4.
Hamna anayeweza nibishia labda kwa maneno ya vitenge na khanga. Kwenye open details, facts, performance kwenye tests hasa za Southern Asian countries hakuna anayeiacha VT-4 achukue hivyo vifaru nilivyotaja.
Tena Cha NziWe kweli kichuguu
amefanikiwa kumdindia mrusi hadi mwa wa 3 kasoro sasa.Ukraine imepewa vifaru kutoka Marekani,UK,German,nk mf.Abraham(US),Leopard-2(Germany),nk nenda kamwulize Zelensky vimemsaidia nini.
Ushindi upi unaongelea? Kwani alieanza kuivamia mwenzake ninani?Mchina ashapigana na Marekani + UK huko Korea katika miaka ya 1950's, hivyo vifaru bora vya mmarekani mbona havikuwapa ushindi?
Fuatilia taarifa vizuri! Russia Forces kwa sasa wanamaliza kazi Donbass na majimbo mengine iliyoyateka! Wakati anamalizia kazi Donbass na maeneo aliyoteka anakuja kumalizia Kursk!Hujui vimemsaidia nin ? Urusi ilikuwa nje ya Kyiv ila ss hv wapo wap ?Ukraine yupo ndan ya Urusi Sasa , hv unahitaj kuelelezwa hata hizo taarifa Kila mtu anajuwa
Fuatilia taarifa vizuri! Russia Forces kwa sasa wanamaliza kazi Donbass! Wakati anamalizia kazi Donbass na maeneo aliyoteka anakuja kumalizia Kursk!Hujui vimemsaidia nin ? Urusi ilikuwa nje ya Kyiv ila ss hv wapo wap ?Ukraine yupo ndan ya Urusi Sasa , hv unahitaj kuelelezwa hata hizo taarifa Kila mtu anajuwa
Hivi ambavyo vinachakazwa na urusi?Vifaa vya Kizungu especially US na EU kiukweli zina quality kubwa sana.
Vinamsaidia kuendelea na ubishi hadi leo.
Sheria ya Vita,mshindi anayo haki ya kuchukua maeneo aliyoteka . Field marshall Idd Amin hakushinda Vita ndio maana Kagera haikuchukuliwa. Yale maeneo ya Urusi Kwa hakiSielewi akili yako ikoje. Kwa hiyo leo hii Museveni akivamia Tanzania eneo lililo kaskazini mwa mto Kagera kama alivyofanya Amini miaka ile wewe utasema tukubali yaishe Museveni achukue eneo "alilokwisha teka".
Una akili finyu sana kuhusu utaifa iwapo unadhani ni sawa kwa Ukraine kuachia eneo lao lilovamiwa na urusia kwa madai kuwa limetekwana Urusi. Urusi ni nchi yenye eneo kubwa sana duniani, wanataka nini kwenye ardhi ya Ukraine kama siyo uchokozi na kiburi tu?
Watanzania wenzangu tujifunze kuchanganua mambo bila kuweka mahaba mbele.Kuna wakati nilikuwa muhanga wa kuamini kila kinachotangazwa na Western media.Lakini baada ya Vita ya Yugoslavia na ile ya Iraq ya miaka ya 2000 nilijifunza jinsi hawa watu wa magharibi wanavyotumia vyombo vyao vya habari kueneza propaganda za serikali zao.kama unakumbuka wote walituaminisha Saddam ana silaha za sumu wakati ukweli wakijua hana hata chupa moja ya silaha za sumu.Baada ya vita wachambuzi huru walitoa tathmini jinsi vyombo kama CNN,SKYNEWS,BBC,DW nk vilivyotumiwa kwenye propaganda.Tokea wakati huo nakuwa makini kuzitazama kwa jicho la pili habari zao.Sielewi akili yako ikoje. Kwa hiyo leo hii Museveni akivamia Tanzania eneo lililo kaskazini mwa mto Kagera kama alivyofanya Amini miaka ile wewe utasema tukubali yaishe Museveni achukue eneo "alilokwisha teka".
Una akili finyu sana kuhusu utaifa iwapo unadhani ni sawa kwa Ukraine kuachia eneo lao lilovamiwa na urusia kwa madai kuwa limetekwana Urusi. Urusi ni nchi yenye eneo kubwa sana duniani, wanataka nini kwenye ardhi ya Ukraine kama siyo uchokozi na kiburi tu?