Kunyolewa nywele na wachawi, nini ufanye baada ya kunyolewa?

Wachawi wanafanyia nini hizi nywele?
Nywele zinabeba utambulisho wako. Zinakuwakilisha wewe kiroho na hata kimwili pia. Ili mchawi akuloge anahitaji kiwakilishi cha kwako chenye utambulisho wako. Ndiyo maana wanakata nywele hizo kisha huenda kukulogea hizo.

Si nywele tu wapo ambao huchukuliwa nguo zao za kawaida au hata nguo za ndani, wengine nyayo zao (mahali ulipokanyaga ukaacha alama ya nyayo au kiatu), wengine picha zao, na viwakilishi mbalimbali vinavyokuwakilisha wewe au unavyomiliki.

The best way niliyoihakikisha ya kushindana na kuzuia mabaya haya yote toka kwa wachawi ni kuamini katika ukombozi uliofanywa na Bwana Yesu Kristo pale msalabani. Ukimpa nafasi Yesu Kristo maishani mwako, huwezi kulogwa. Atakulinda na kukupigania katika yote. Wachawi wanamwogopa sana mtu aliye na Yesu ndani yake. Kwangu hii ni the best and foremost.
 
Amina
 
Mbombo ngafu
 
Back
Top Bottom