Wewe mleta mada mambo yetu wanawake ya kuwa na bikra, single mother yanakuhusu nini unahtaji ukue kiakili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcoz , sheria ni sheria ila ni ngumu mkuu[emoji23]Nakuambiaje, kama wanaume wakisema hatuoi mwanamke asiye na bikra amini usiamini hakuna mwanamke mrahisi kuachia kipochi manyoya chake. Wanawake wanapenda ndoa. Shida ni kuwa wanaume tumekubali kutumia vitu vya mitumba. Binafsi hilo halitatokea katika ndoa yangu. Nimelisimamia na sasa nimefanikiwa 90%
Mega mind nyerere unaendana na jina lakoMkuu bikra ni nadharia tu. Maana dini inasema ukishatamani tu umezini sasa habari za kuchunguza bikra sidhani kama zina tija. Ukimpenda mtu haijalishi ni Single mother ana bikra au hana.
Mimi ata iweje simshauri mtu kuoa single mother ni shida tupuTofauti ni mtoto mkuu, hayo mengine ni sawa tuu. Asiye na bikra hana la ziada kwenye tabia kumshinda single mother. Haya utajuaje alitoa mimba? Yaani ni muuaji, asiye na huruma n.k.
Ndoa nyingi zinasumbua kutokana na wanaume kuchukua kitu used, Kitu cha mtumba. Shida ukishazoea kununua simu za mtaani, nguo zilizotumika, magari yaliyotumika n.k hutaona tabu kuchukua mwanamke asiye na bikra.
Muache tabia ya kusema single mother kwani anathamani kushinda asiye na bikra. Kitu pekee kinachomfanya single maza awe mbele kwa uthamni dhini ya asiye na bikra ni mtoto, ambayo ni dalili ya yeye sio tasa.
Bikra ndio suluhu la ndoa za sasa.
Kwani wewe ni bikra hapo maana wengine walitolewa bila kuwa na ufahamu, hafu u single mother hupata yoyote na sio dhambi, ukijua kwenye maisha no one is perfect hutaona shida mapito wanayopitia wanawake.Hili ni jukwaa huru, mtu hutoa kile aonacho kinafaa ili kutoa elimu kwa watu. Elimu hii inaweza kukufaa au isikufae. Lakini kama unamtoto wa kiume please naomba umpe elimu hii. Kama mmeo alichukua kitu used naomba isijitokeze kwa mwanao.
Wasalamu
Ofcoz , sheria ni sheria ila ni ngumu mkuu[emoji23]
Basi iwe ivi..."Mimi mwanaume sitotongoza mwanamke wala kufanya mapenz hadi wakati wa ndoa"...
Unajua madem hawajitii wenyewe??? ..sometime nisis ndo tunawaingiza.
Chek hii...kuna kile kipindi cha NUHU..wana walikua wanakula TIGO..yaan wanawake wapo lkn Wakawa wanafirana wao kwa wao.
Sasa ivi ndo kinatokea..... Kwaufupi nasisi wanaume kwasasa tumekoswa sifa ya UONGOZI tuloumbwa nayo.
Wanawake zaman walijitunza sana mpaka miaka 2000 bikra ilikua rahisi..ila saizi[emoji23].
Unakuta demu katembea na wanaume idadi yao nikubwa kushinda hata umri wake.
Ukibahatisha mwanamke bikra na akakidhi vigezo vyako wewe oa kabisa achana na hawa wakina break p,u,m.bu wameshaumizwa wana majonzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika la maana sisi wanawake ni receiver, sasa kutu laumu sisi nayo haina mashiko siku nyie mkigoma kufanya hyo case itaheshimiwaOfcoz , sheria ni sheria ila ni ngumu mkuu[emoji23]
Basi iwe ivi..."Mimi mwanaume sitotongoza mwanamke wala kufanya mapenz hadi wakati wa ndoa"...
Unajua madem hawajitii wenyewe??? ..sometime nisis ndo tunawaingiza.
Chek hii...kuna kile kipindi cha NUHU..wana walikua wanakula TIGO..yaan wanawake wapo lkn Wakawa wanafirana wao kwa wao.
Sasa ivi ndo kinatokea..... Kwaufupi nasisi wanaume kwasasa tumekoswa sifa ya UONGOZI tuloumbwa nayo.
Wanawake zaman walijitunza sana mpaka miaka 2000 bikra ilikua rahisi..ila saizi[emoji23].
Unakuta demu katembea na wanaume idadi yao nikubwa kushinda hata umri wake.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti break nini?Ukibahatisha mwanamke bikra na akakidhi vigezo vyako wewe oa kabisa achana na hawa wakina break p,u,m.bu wameshaumizwa wana majonzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni bikra hapo maana wengine walitolewa bila kuwa na ufahamu, hafu u single mother hupata yoyote na sio dhambi, ukijua kwenye maisha no one is perfect hutaona shida mapito wanayopitia wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah cjui hata inatokajeePole sana,
Kama haikutolewa na mtu zaidi ya mume wako basi hii post haikuhusu. lakini kama ni tofauti na hivyo, nampa pole shemeji kwa kubeba kitu cha mtumba ambacho moja ya sifa yake ni cheap.
Yeaah kila mtu asimamie sehem yake.Umeandika la maana sisi wanawake ni receiver, sasa kutu laumu sisi nayo haina mashiko siku nyie mkigoma kufanya hyo case itaheshimiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ase nina mke wangu mtarajiwa mzuri nilimkuta sealed nikafungua mwenyewe, kwakweli tunaelewana sana ananiheshimu pia namuheshimu. Niko nae miaka tano sasa, nikiumwa hua anachanganyikiwa sana mpaka sometime hua navunga tu asijue .Msichana ukimkuta bikra huyo oa kabisa maana namimi nipo kwenye mpango na huyu baby wangu hua hawana maigizo ya kupenda akikupenda kweli kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app