Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Single mother ni sawa na mwiz aliekutwa na kithibitisho, single mother sio mbaya kuwa naye kivumbi ni pale atakapotakiwa kumpeleka mtoto hotelin akamsalimie baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa post unatumika na mampepo machafu sana. Ina maana ulowahi kuwatoa bikra umewaoa?
Kama hujawaoa huoni kwamba pepo linakutumia kuharibu thamani za wabinti wa watu?
 
Ha haaaaaaa wee kusema ukweli. Unapenda kibamia au hogo?? Simnapenda hogo eti zinawagusa kila kona .

Ndio maana mnatest kwanza
Kuna mshikaji wangu napiga nae kazie anasemae alikutana demu wakafanya mapenzie wamemaliza demue kamwambia baby una mb.... Ndogo ila umejitahidi jamaa akasema nilikosa Cha kumwambia ila ghafla jibu likanijia pale pale nikamwambia mimi sina ndogo sema wewee ndoe unayo kubwa unaambiwa demu alikasilika mshikaji kamwomba msamaha kalibu wiki mbili .Kwahiyo something wanawake wanakuwa zishachezewa zimelegea anaishia kusema jamaa ana kibamia kumbe lake ndo oversize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wakuu!

Imekuwa sasa ni tabia kwa baadhi ya Wanaume wajinga kurusha makombora, vijembe na kejeli kwa dada zetu Single Mother. Wengi wamekuwa wakiwapa maneno ya dhihaka, shutuma na shombo kwa kuwaona hawafai, kuwaona ni wanawake rahisi na wasioweza kufunga nyuchi zao. Jambo ambalo linaweza kuwa kweli na wakati huo huo si kweli. Na kama jambo lolote linapande mbili basi tunaweza hitimisha ni Opinion wala si fact.

Wanaume wenzangu, hakuna tofauti kubwa iliyopo baina ya kuoa mwanamke aliye single mother na yule asiye na bikra. Hawa wote wapo katika kundi moja. Tofauti ni kwamba mmoja hakushika mimba wakati mwingine alishika mimba. Au wote walishika mimba lakini mmoja alikubali kuzaa wakati mwingine alifanya abortion.

Hao wote tayari walikuwa na wapenzi wao kabla. Wote walikuwa wanawapenda kuliko atakavyo kupenda wewe. Hakuna asiyejua mpenzi wa kwanza unavyompenda.

Mimi binafsi siwezi kuwalaumu ma-single mother kutokana na hali zao. Nawakubali kiasi fulani japokuwa si cha kuwafanya wawe katika ndoa na mimi. Siwezi kuoa mwanamke nisiyekuta bikira yake. Siwezi asilani.

Mwanaume kama unatabia ya kuwabeza ma-single mother wakati umeoa mwanamke usiyemkuta na bikira basi huna tofauti na nyani kucheka kundu la mwenzake wakati lake linashahabiahana mwenzake. Mtu hana bikira utajuaje alitoa mimba, utajuaje alitoka na wanaume wangapi. Je utawezaje kuamini maneno yake kwamba hatakusaliti ikiwa hukukuta alama yake ya uaminifu wa mapenzi ambayo ni Bikra.

Ni ujinga kuwacheka single mother ilihali unaendekeza wanawake kuoa wanawake wasio na bikra.
Mambo yote sisi wanaume ndio chanzo, hivi unafikiri kama wanaume wangesema hatuoi mwanamke asiye na bikra unadhani wanawake wangekuwa wepesi. Wanawake wametudharau, wameona wanaume wa siku hizi ni wepesi kutumia mitumba kuliko kitu Kipya. Wanaume tumekuwa kituko kwakweli.

Mbaya zaidi mtu anafunga ndoa takatifu na mwanamke asiye bikira. Kweli dunia imevaa dera. Ndoa takatifu au Ndoa najisi. Wanaume tukiendekeza vitu vya mitumba tutashuhudia mengi sana. Mwanaume timamu na aliyekamilika hawezi kuoa mwanamke asiye na bikra. Ukipinga hili ujue unatatizo la msingi na hujui ni kwa nini Mungu aliiweka hiyo bikra.

Hakuna raha uwe na mwanamke aliyebikra umpende na kumheshimu, umpe mapenzi moto. Mwanamke wa namna hii hata umwambie chochote anakubali. Mungu aliposema mwanaume atamtawala mwanamke alimaanisha mwanamke bikra sio upuuzi mwingine. Mwanamke bikra ni mwepesi kumtawala kuliko kitu chochote, ni mwaminifu na hana pingamizi lolote kwa chochote.

Wanawake wanapunguza mapenzi pale wanapoachwa na mpenzi wa kwanza. Hapo ndipo kiburi na kutokuwa na imani na wanaume kunaanza.

Sio rahisi kwa mwanamke kumkatalia ex wake eti kisa waliachana na kisa yupo na wewe. Naongea kwa uzoefu. Wengi wanakubali kurudiana kwa siri sana. Pia ni ngumu mwanamke uliyemtoa bikra kuanzisha uhusiano na mtu mweingine ikiwa wewe upo na unafanya majukumu yako. Lakini mwanamke uliyekuta bikra haipo hata umpe nini kutoka ni rahisi sana.

Nihitimishe kwa kusema. Hakuna tofauti kubwa kati ya single mother na asiye na Bikra lao ni moja.
Hivyo wanawake wenye watoto msife moyo kwani baadhi ya wanaume wanajidanganya tuu. Pia wafunzeni wabinti zenu kuwa wasafi kwani moja ya baraka kwenye ndoa ni mwanamke kukutwa na bikra.

Nawasilisha, Povu ruksa.
Mkuu umeleta mada sensitive sana[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread yako inabidi uandikwe kwa wino wa dhahabu ila wazinifu hatakuelewa


wachache sana
Na anzia hapa. Bikra inatolewa mara moja hali kadhalika mimba inaingia mara moja.

Zinaa ni deni kaka,wewe kama ni mzinifu usitegemee kuoa mfano wako.

Hata mambo ya kuoa bikra au kuto kuoa bikra majibu yake sahihi ni ya kiroho kama baadhi ya watu wanavyoita yaani ya kidini.

Lazima watu wajue hapa duniani watu wanaishi pande mbili,mimi nasema ulimwengu mbili za kimahusiano.

Ulimwengu wa kwanza ni ule ambao si wa kidini huu kupata suluhisho la jibu hili ni ngumu sana.

Ulimwengu wa pili ni ulimwengu wa dini. Ulimwengu wa dini unatambua thamani ya mwanamke na nafasi yake. Unatambua ya kuwa maisha hayaishi katika bikra tu,wala katika kuzaa,bali wala katika kukosa uzao.

Bikra ni heshima ya mwanamke na ni thamani kubwa kwake lakini katu bikra haijawahi kuleta ubora wa mwanamke. Ubora wa mwanamke ni uchamungu wake,bali kwa kila binadamu.

Sisi binadamu tuna badilika kila kukicha leo unalala ukiwa mwema kesho una amka ukiwa muovu. Cha msingi sisi wanaume tuombe salama na tuombe wake wema,ukijaaliwa kumpata mwema na ukamtengenezea mazingira mazuri ya usimamiza lazima utafurahia maisha.

Kama hujaelewa vyema maandishi yangu,rejea kauli hizi "ZINAA NI DENI" na "USIPIGE PASI NGUO IKIWA CHAFU" na "NDEGE WAFANANAO NDIO HURUKA PAMOJA"

Sent using Jamii Forums mobile app


umesema ukweli mtupu
 
Mtoa post unatumika na mampepo machafu sana. Ina maana ulowahi kuwatoa bikra umewaoa?
Kama hujawaoa huoni kwamba pepo linakutumia kuharibu thamani za wabinti wa watu?


niliyemtoa bikra ndio mke wangu hapa
 
Kuna mshikaji wangu napiga nae kazie anasemae alikutana demu wakafanya mapenzie wamemaliza demue kamwambia baby una mb.... Ndogo ila umejitahidi jamaa akasema nilikosa Cha kumwambia ila ghafla jibu likanijia pale pale nikamwambia mimi sina ndogo sema wewee ndoe unayo kubwa unaambiwa demu alikasilika mshikaji kamwomba msamaha kalibu wiki mbili .Kwahiyo something wanawake wanakuwa zishachezewa zimelegea anaishia kusema jamaa ana kibamia kumbe lake ndo oversize

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] moto kwa moto
 
Huu uzi siyo rahisi wasichana wa humu kuchangia, maana takwimu zinaonyesha walioolewa wote walikuwa hawana bikra na ambao hawajaolewa nao hawana bikra ama ni single mothers.
 
Huu uzi siyo rahisi wasichana wa humu kuchangia, maana takwimu zinaonyesha walioolewa wote walikuwa hawana bikra na ambao hawajaolewa nao hawana bikra ama ni single mothers.
Kwani ni lazima kuchangia?
 
Huu uzi siyo rahisi wasichana wa humu kuchangia, maana takwimu zinaonyesha walioolewa wote walikuwa hawana bikra na ambao hawajaolewa nao hawana bikra ama ni single mothers.


huu uzi ni jiwe gizani
 
Ni ndoto ya kila mwanaume kuoa bikra ila kwa vile nowadays ni ngumu ....basi watu wanazuga na Maneno ya kujifariji
 
Back
Top Bottom