Kuoa kwenye Familia Tajiri ni taabu sana

Walikua wanataka mapambano gan tena
 
Kama umezaliwa familia zetu zenye mikosi ukipata kuzaa na familia zilizo barikiwa unajilipua ili watoto wako shida wazisikie redioni ata kama utaachana na mkeo watoto wataishi na kusoma vzr. Ni njia moja wapo ya kubreak poverty circle kwenye koo zetu.
 
😳😳😳😳😂😂😂Tupe nyama kidogo mkuu
 
Kuoa ni tabu period.

Ukioa familia masikini unaweza kupewa mzigo wa kulea na kusomesha familia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…