Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

Ila wabongo bhana,yani huna uhakika na status yangu halafu unaongea habari za ndoa...kwa hiyo kuolewa ni kuondolewa mkosi?

Olewa wewe basi manake mikosi imekuandama
Mila za kiafrika mwanamke kuolewa ni heshima hata ninyi mnalifahamu Hilo, tatizo unataka kuwa mkali wakati inafahamu Fika kuwa ndoa ni physical address tosha
 
Nasikia wanasema umri ni namba tu

Lakini kwangu mie kuwa na mahusiano na mwanaume niliyemzidi umri siwezi
Duuu,jaribu kubadili mitazamo yako dadayangu,change is the law of life,unaweza kutana nmatu mnamatch each and every thing ,cjui machemistry5 huko lkn,inshu ikawa umri,huu niubaguzi kama ubaguzi aliokua akiuzungumzi mwl Nyerere juu ya kabila lawakara Kua rais
 
Uko Makini Sana chief ,hua nakufatilia Sana
 
Brother uko Makini nakuombea kwaMunhu,unapoint zinafaa Sana kwadunia yasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…