Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

Jamani kuoa mwanamke aliyekuzid umri ni sawa. Ushauri Jaman!
Sio sawa ! Inabidi umzidi walau miaka 4 na kuendelea..hata 10 ,
Kisaikolojia haijakaa sawa kabisa..

Mpaka katika your subconscious mind umeona bora uulize ..basi jua hii itakusumbua baadae
 
Muhimu uwe unamkaza vizuri kiasi cha kumfikisha mbingu zote saba, pili uwe na shekeli (pesa) kumzidi
 
Yaani wewe unataka tukushauri kuhusu mke utakaemuoa wewe mwenyewe. Unahisi sisi nyuma ya keyboard huku tutakushauri nini.

Wewe ndio unamjua huyo mama, kuna mengi sana ya kuangalia zaidi ya umri. Kwahiyo kwako wewe kama mama ana sifa zote kabisa za kuwa mke bora ila kakuzidi hiyo miaka 2 huwezi kumuoa hadi sisi tukwambie. Wangapi wameoa wanawake wadogo kiumri kuliko wao wameishia kuchomana na magunia ya mikaa tu au kuwa na maisha ya mateso.

Angalia factors nyingi achana na umri, umri ni namba tu
Great bro! [emoji106]
 
Suala la Kuishi na Mwanamke kama Mkeo ndani.


UNAHITAJIKA WEWE MWANAUME, UWE MWANAUME KUANZIA KICHWANI. UPAMBANAJI WA MAISHA, HESHIMA.


yaaan ndani ya NYUMBA, ajue na majiran wajue

[emoji117]Wewe ndo Mzee wa NYUMBA.
[emoji117]Wewe ndo Mwenye majukumu ya NYUMBA yako.
[emoji117]Wewe ndio Mumewe, kwamba ana WAJIBIKA KUKUHESHIMU SANA, KUKUJALI, KUKUSIKILIZA, KAMA MUME, BABA, NA MTU UNAYEMWEKA MJINI HAPA.
[emoji117]AFUATE UNACHOSEMA YAAN AWE MTIIFU KWAKO ( ukisema this time hamna kwenda uchagani, nayeye HAENDI ) .
[emoji117] Uonekane wewe ndio Mfalme. MKOLONI n.k



UKIFELI HAYO MACHACHE ...HATA KAMA UMEMZIDI MIAKA 10. atakufanya uwe Kichaa !!


UMRI HAULINDI MAHUSIANO/NDOA. BALI AKILI.
Good Point
 
Lkn AMINI nakuambia, Kama umri ungekua Nguzo ya kulinda Uhusiano, basi mahusiano au ndoa nyingi Leo hii zingedumu.


Maajabu nikwamba kwa sasa kuna Ongezeko kubwa la ndoa kuvunjika.




MWANAMKE AKIWA MPUMBAVU, HATA UMZIDI MIAKA KUMI, NI MPUMBAVU TUUU , ANAWEZA KUA KONDOO KWA MUDA LKN BAADAE AKAWA CHUI VILEVILE.



mwanamke kama amekupenda na Kwa kuzingatia , Wanawake waliumbwa kua mwanamke wa Mume mmoja, basi AMINI nakuambia, akikupenda, hata kama kakuzidi miaka 5 ,atakuheshim. Atakusalimia, atakuona wee ni Baba yake !!. TENA NDO ATAJITAHIDI SANA KILA KUKICHA, KUKUFANYA UAMINI KUA ULIFANYA CHAGUZI SAHIHI KUMUOA.





KIKUBWA NI WEWE MWANAUME, UNAKUA NGANGARI, MUDA WOTE UNAMFANYA AJIONE NI MDOGO KWAKO ( SIO KIBABE AU KIPIGO)., KWA MAHABA, UPENDO, NA MAISHA KWA UJUMLA.

YES, KUNA NYAKATI AKIKOSA, WEE USIJALI KAKUZIDI, KOROMA, KAMA MAKOFI MTIE MAKOFI !!!.
Point
 
Baby Mama wangu alonipa Mtoto wakwanza ni Mkubwa kwangu wa miaka 3.


Huyu Baby Mama ambaye ndio Wife kanizidi miaka 2.



Haya , Njooo uniulize maswali yote nikujibu !! .



Kwanza nianze kwa kuuliza..
Huyo Mwanamke Ana miaka mingapi nawewe una miaka mingapi ???

Usije kua una 23 alafu Dem ana 25...wote bado mkawa bado ni watoto walochangamka..
27/29yrs
 
Less than five years its ok for me. Ila zaidi ya hapo inakua na ukakasi kidogo.

All in all, ndoa sio umri, but knowledge ( social knowledge and emotional intelligence) mkuu.
Point [emoji115]
 
Dogo swala la Ndoa linahitaji Akili zaidi na utayar ...hizo ndo nguzo kuu zitakazokuongoza
 
Anko wangu alioa mwanamke aliemzidi 4 yrs lakini wanavyoishi na kuheshimiana it's like auntie ndo mdogo... mpaka sasa ni 30+ ya ndoa yao na hata watoto tulipokuja kugundua hili tulishangaa kwa jinsi wanavyoishi!

So inawezekana muhim uplay part yako ya kiume na awe na vigezo vinavyokuridhisha kimwili, kiroho na kiakili na ukubali mabadiliko yatakayotokea baada ya kuishi pamoja na kupata watoto.
 
Back
Top Bottom