Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

Jamani kuoa mwanamke aliyekuzid umri ni sawa. Ushauri Jaman!
Sio sawa ! Inabidi umzidi walau miaka 4 na kuendelea..hata 10 ,
Kisaikolojia haijakaa sawa kabisa..

Mpaka katika your subconscious mind umeona bora uulize ..basi jua hii itakusumbua baadae
 
Muhimu uwe unamkaza vizuri kiasi cha kumfikisha mbingu zote saba, pili uwe na shekeli (pesa) kumzidi
 
Great bro! [emoji106]
 
Good Point
 
Point
 
27/29yrs
 
Less than five years its ok for me. Ila zaidi ya hapo inakua na ukakasi kidogo.

All in all, ndoa sio umri, but knowledge ( social knowledge and emotional intelligence) mkuu.
Point [emoji115]
 
Dogo swala la Ndoa linahitaji Akili zaidi na utayar ...hizo ndo nguzo kuu zitakazokuongoza
 
Anko wangu alioa mwanamke aliemzidi 4 yrs lakini wanavyoishi na kuheshimiana it's like auntie ndo mdogo... mpaka sasa ni 30+ ya ndoa yao na hata watoto tulipokuja kugundua hili tulishangaa kwa jinsi wanavyoishi!

So inawezekana muhim uplay part yako ya kiume na awe na vigezo vinavyokuridhisha kimwili, kiroho na kiakili na ukubali mabadiliko yatakayotokea baada ya kuishi pamoja na kupata watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…