Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

Vijana wa sasa wanapenda wamama wanaowazid umri ety ndo wasaf na watam jamn hii nchi
 
Nasikia wanasema umri ni namba tu

Lakini kwangu mie kuwa na mahusiano na mwanaume niliyemzidi umri siwezi

Wasichana wengi hupenda vijana wenye umri kwanzia 30-40 i think ni kwasababu wameshayajuwa maisha,,
 
Nasikia wanasema umri ni namba tu

Lakini kwangu mie kuwa na mahusiano na mwanaume niliyemzidi umri siwezi
Ni kweli. One day atakunyanyapaa. Mpokee mwanaume aliyekuzidi kiumri na kipesa ndiye mtamu.
 
Salute Mwamba uko Vizuri respect
 
Rais wa Ufaransa ameoa mwanamke aliyemzidi miaka 24 yaani Emanuel Macron kazaliwa December 21, 1977 wakati huo mke wake anaitwa Brigitte Macron kazaliwa April 13, 1953 na maisha yanaendelea..
 
Chamsingi hapo ni upeo wa akili yake upoje ayo ya age ni ziada.

wamama wa humu wanaosema hawawezi hawajakutana na vijana age ya Bashugwa na wanafamilia zao zimenyooka vizuri na wana akili mbaya mno, na kuna wengine wameolewa na wazee wenye umri ulosogea ila unakuta mzee anamambo ya kitoto na kihuni kupita kijana, so chakuzingatia hapo ni akili kwanza ndo age inafwata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…