joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
bro this hoes ain't loyalLet's play Fair,mnagawa wanaume Kwenye makundi haya,
Broke Men.
Rich Men.
Nasi tunawagawa kwenye makundi Haya..
Virgins..
Hoes...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro this hoes ain't loyalLet's play Fair,mnagawa wanaume Kwenye makundi haya,
Broke Men.
Rich Men.
Nasi tunawagawa kwenye makundi Haya..
Virgins..
Hoes...
Sister una akili mbovu sana.Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Safi sana.100/100Kwani mimi ni demu niwe bikra vip wewe? Mlija hauna mfuniko chupa ndo yenye mfuniko.
Nimeipenda hii kpnzHua hawaelewi viumbe wa humu isipokua wewe tu🥲
BossSister una akili mbovu sana.
Hapo mambo ya kuachana ni majaliwa, hakuna couple wanaoana ili waachane, ni bahati mbaya zinatokea hamuendani ila hio hoja ya kusema uoe mwanamke yoyote tuu mwenye bikra au asiyekuwa nayo just because umeona wanawake wameolewa bila bikra na ndoa zimedumu ni hoja mbovu sana
Kila mwanaume ana qualities na standard anazotafuta kutoka kwa mwenza wake, sasa kama mwanaume anataka mwanamke bikra ni standard zake alizojiekea, kitendo cha wewe kusema ana akili za kijinga inaonesha jinsi gani ulivokuwa "Mpumbavu wa akili" kwa kupangia watu standard.
Kila mtu anatafuta kilicho bora madam regardless what the future holds, na tusifichane bikra ni bora, kwasababu ina akisi utulivu wa mwanamke na uaminifu wake kitu ambacho ni nadra sana kwa wanawake wa sikuiz.
Kama wewe hutaki kuolewa na mwanaume masikini kwann mwenzako akitaka kuoa mwanamke "pure" aliyejitunza kwaajili ya mumewe, hakufanya umalaya wakati wa ujana, unamwita mjinga? Standard zako sio standard zetu, Fikra zako sio fikra zetu.
Kubali ukatae mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua, why? kwasababu tayar huyu mwanamke anakuwa ame-develop preferences na hakuna kitu kibaya kama mwanamke aliye-develop preferences kwasababu ana kuwa ana judge vitu kulingana na experience(preferences) alizopitia, najua utabisha kwamba mwanamke akilala na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua but i'm happy to inform that this is scientific, soma hapo chini.
View attachment 3119306
Hoja yako ni weak sana kwasababu thamani ya mwanaume ni tofauti na thamani ya mwanamke, kinachompa uthamani mwanamke ni tofauti kabisa na kinachompa uthamani mwanaume.
The Value of Woman is in her past.
The Value of Man is in his future.
Women are born with Value.
Men are born without Value.
Women have much to loose.
Men have more to gain.
Bi zandile
Sasa huyo ambaye anachagua bikra alaf hazingatii hayo mambo hana akili, the essence of marriage ni kutafuta mtu unae-endana nae, sasa kama hauendani nae kwann unamuoa?Wewe oa bikira wako halafu awe mjeuri,mbinafsi,hana heshima,hana subira,nakwambia utasahau hata kama ulimuoa na bikira
sikutegemea kama ungekuwa kungwi, enewei tuendelee kujifukizaKuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Umemaliza 100%✓Sister una akili mbovu sana.
Hapo mambo ya kuachana ni majaliwa, hakuna couple wanaoana ili waachane, ni bahati mbaya zinatokea hamuendani ila hio hoja ya kusema uoe mwanamke yoyote tuu mwenye bikra au asiyekuwa nayo just because umeona wanawake wameolewa bila bikra na ndoa zimedumu ni hoja mbovu sana
Kila mwanaume ana qualities na standard anazotafuta kutoka kwa mwenza wake, sasa kama mwanaume anataka mwanamke bikra ni standard zake alizojiekea, kitendo cha wewe kusema ana akili za kijinga inaonesha jinsi gani ulivokuwa "Mpumbavu wa akili" kwa kupangia watu standard.
Kila mtu anatafuta kilicho bora madam regardless what the future holds, na tusifichane bikra ni bora, kwasababu ina akisi utulivu wa mwanamke na uaminifu wake kitu ambacho ni nadra sana kwa wanawake wa sikuiz.
Kama wewe hutaki kuolewa na mwanaume masikini kwann mwenzako akitaka kuoa mwanamke "pure" aliyejitunza kwaajili ya mumewe, hakufanya umalaya wakati wa ujana, unamwita mjinga? Standard zako sio standard zetu, Fikra zako sio fikra zetu.
Kubali ukatae mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua, why? kwasababu tayar huyu mwanamke anakuwa ame-develop preferences na hakuna kitu kibaya kama mwanamke aliye-develop preferences kwasababu ana kuwa ana judge vitu kulingana na experience(preferences) alizopitia, najua utabisha kwamba mwanamke akilala na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua but i'm happy to inform that this is scientific, soma hapo chini.
View attachment 3119306
Hoja yako ni weak sana kwasababu thamani ya mwanaume ni tofauti na thamani ya mwanamke, kinachompa uthamani mwanamke ni tofauti kabisa na kinachompa uthamani mwanaume.
The Value of Woman is in her past.
The Value of Man is in his future.
Women are born with Value.
Men are born without Value.
Women have much to loose.
Men have more to gain.
Bi zandile
😀😃😃😆Kwani mimi ni demu niwe bikra vip wewe? Mlija hauna mfuniko chupa ndo yenye mfuniko.
100%✓Ukioa mwanamke asie kuwa na bikra kuna asilimia kubwa ya kuja kukongewa mkeo
Aiseeshtuka mkuu
hii ni mtego wa kutafuta attention tena uyu mwenye hiyo ID ni mtu wa muda humu Jf
anatafuta attention sana tena kwa nguvu
Bikira ni kiashiria cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Hata Mungu alivyotaka kumleta mwanae duniani alikua na information za wanawake wote lakini alichagua mwanae apitie tumboni kwa mwanamke bikira, je wewe una busara na maarifa kumzidi Mungu?Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Hatimaye leo wale tuliooa wanawake used wasio na bikra hata moja mtetezi wetu kapatikana! Haya sasa njoeni tufarijiane.Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Namba 3 hiyo.Vitu 3 ambavyo malaya yoyote hataki kuvisikia
1. DNA test
2. Ubikira
3. Idadi ya wanaume waliomtomba
Malezi mema walikotokaUbikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.