Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

Sister una akili mbovu sana.

Hapo mambo ya kuachana ni majaliwa, hakuna couple wanaoana ili waachane, ni bahati mbaya zinatokea hamuendani ila hio hoja ya kusema uoe mwanamke yoyote tuu mwenye bikra au asiyekuwa nayo just because umeona wanawake wameolewa bila bikra na ndoa zimedumu ni hoja mbovu sana

Kila mwanaume ana qualities na standard anazotafuta kutoka kwa mwenza wake, sasa kama mwanaume anataka mwanamke bikra ni standard zake alizojiekea, kitendo cha wewe kusema ana akili za kijinga inaonesha jinsi gani ulivokuwa "Mpumbavu wa akili" kwa kupangia watu standard.

Kila mtu anatafuta kilicho bora madam regardless what the future holds, na tusifichane bikra ni bora, kwasababu ina akisi utulivu wa mwanamke na uaminifu wake kitu ambacho ni nadra sana kwa wanawake wa sikuiz.

Kama wewe hutaki kuolewa na mwanaume masikini kwann mwenzako akitaka kuoa mwanamke "pure" aliyejitunza kwaajili ya mumewe, hakufanya umalaya wakati wa ujana, unamwita mjinga? Standard zako sio standard zetu, Fikra zako sio fikra zetu.

Kubali ukatae mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua, why? kwasababu tayar huyu mwanamke anakuwa ame-develop preferences na hakuna kitu kibaya kama mwanamke aliye-develop preferences kwasababu ana kuwa ana judge vitu kulingana na experience(preferences) alizopitia, najua utabisha kwamba mwanamke akilala na wanaume wengi uwezo wake wa kutengeneza bond na mwanaume mmoja unapungua but i'm happy to inform that this is scientific, soma hapo chini.


Hoja yako ni weak sana kwasababu thamani ya mwanaume ni tofauti na thamani ya mwanamke, kinachompa uthamani mwanamke ni tofauti kabisa na kinachompa uthamani mwanaume.

The Value of Woman is in her past.
The Value of Man is in his future.

Women are born with Value.
Men are born without Value.

Women have much to loose.
Men have more to gain.


Bi zandile
 
Boss

Asante kwa andiko lina point sana,,ila tuwe wakwel tu, sex peke yake haifanyi ndoa kuwa na furaha

Mtoa mada ana point asikilizwe,kutokuwa mbinafsi,kuvumiliana na kuheshimiana,msamaha ndio mambo muhimu sana katika maisha ya ndoa period

Wewe oa bikira wako halafu awe mjeuri,mbinafsi,hana heshima,hana subira,nakwambia utasahau hata kama ulimuoa na bikira
 
Wewe oa bikira wako halafu awe mjeuri,mbinafsi,hana heshima,hana subira,nakwambia utasahau hata kama ulimuoa na bikira
Sasa huyo ambaye anachagua bikra alaf hazingatii hayo mambo hana akili, the essence of marriage ni kutafuta mtu unae-endana nae, sasa kama hauendani nae kwann unamuoa?

Kitu chingine tusidanganyane wanawake hubadilika, hasa hawa ambao wameingia kweny mahusiano ya kimapenzi na wanaume wengi, yaan they're very smart kwasababu wame-deal na wanaume wengi, wanajua wanaume, anaweza akawa mkarimu na mtulivu kweny uchumba mkiingia kweny ndoa sio yule kabisa.

My point is, kila mtu ana standard zake na zote naziheshimu but ntamwona mtu ana akili sana akichagua mwanamke bikra kwa sababu bikra mfano ya miaka 25, ina akisi mambo muhimu sana kweny tabia ya mwanamke.
 
sikutegemea kama ungekuwa kungwi, enewei tuendelee kujifukiza
 
Umemaliza 100%✓
 
Bikira ni kiashiria cha maadili mema na usafi wa mwanamke. Hata Mungu alivyotaka kumleta mwanae duniani alikua na information za wanawake wote lakini alichagua mwanae apitie tumboni kwa mwanamke bikira, je wewe una busara na maarifa kumzidi Mungu?

Fumbo la mustakabali wa maisha ya ndoa sio justification ya ku-bet kwa kahaba mstaafu. Kwanini nifanye gamble ya kuoa mwanamke mwenye red flag wakati wapo wanawake wenye rekodi nzuri?

Nalipa mahari ya kutunziwa nini wakati nimekuta mwanamke ashatumika? Mimi kama mwanaume nitaheshimika vp kwenye jamii yangu kuoa mwanamke ambae uchi wake ushafunuliwa na wanaume wengine?
 
Hatimaye leo wale tuliooa wanawake used wasio na bikra hata moja mtetezi wetu kapatikana! Haya sasa njoeni tufarijiane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…