Chujio
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 1,368
- 2,108
Bikira anastahili bikira mwenzake wa kufanana nae, waanze wote moja, wajifunze pamojaKwa nini mwanamke tu na sio mwanamke na mwanaume wawe wote mabikira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikira anastahili bikira mwenzake wa kufanana nae, waanze wote moja, wajifunze pamojaKwa nini mwanamke tu na sio mwanamke na mwanaume wawe wote mabikira?
Ngoja nikupigieMIE BADO BIKRA
Nimeipenda hiiKuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Waambie waache ujingaumechokoza nyuki
Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
Hlf kuna mjinga mmoja anajisifu kaoa demu bikraTatizo bikra zinauzwa madukani siku hizi.
Kuna binti wa Kidigo nilisoma nae Uganda, ilikuwa tunaishi kama mke na mume na kufanya yote kama wanandoa.
Baada ya kumaliza shule aliambiwa tu kuwa kuna mume katokea na anaolewa.
Moja ya mila za watu wa Tanga ni kuweka shuka nyeupe chumba cha bwana na bibi harusi usiku wa kwanza baada ya ndoa. Wakikuta damu inamaanisha demu alikuwa bikra na wazazi hupewa zawadi.
Kwa yule binti damu ilitoka nyingi na sifa kedekede kwenda kwa wazazi wake kuwa wamemlea vyema.
Baadae kuja kuongea na demu akasema alipewa dawa ya kufunga na mama yake kumfanya awe na utepe tena.
Mumewe mpaka leo anaamini kambikiri mkewe kumbe demu keshabikiriwa toka kinda. Hata mimi sikumkuta na bikra.
kuna mwanaume bikira? tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia?Kwa nini mwanamke tu na sio mwanamke na mwanaume wawe wote mabikira?
Hajaolewa usikutevipi uliolewa ukiwa bikra?
N.B: TUSIPANGIANE WA KUOA !
Chai haina sukari nduguTatizo bikra zinauzwa madukani siku hizi.
Kuna binti wa Kidigo nilisoma nae Uganda, ilikuwa tunaishi kama mke na mume na kufanya yote kama wanandoa.
Baada ya kumaliza shule aliambiwa tu kuwa kuna mume katokea na anaolewa.
Moja ya mila za watu wa Tanga ni kuweka shuka nyeupe chumba cha bwana na bibi harusi usiku wa kwanza baada ya ndoa. Wakikuta damu inamaanisha demu alikuwa bikra na wazazi hupewa zawadi.
Kwa yule binti damu ilitoka nyingi na sifa kedekede kwenda kwa wazazi wake kuwa wamemlea vyema.
Baadae kuja kuongea na demu akasema alipewa dawa ya kufunga na mama yake kumfanya awe na utepe tena.
Mumewe mpaka leo anaamini kambikiri mkewe kumbe demu keshabikiriwa toka kinda. Hata mimi sikumkuta na bikra.
Hua hawaelewi viumbe wa humu isipokua wewe tu🥲Waambie waache ujinga
Hhhi ! mshangazi!.MIE BADO BIKRA
Kwa hiyo unawaambiaje hao wanaotamba kuwa hawakuoa mtumba ilhali demu alitobolewa bikra kisha akaenda kununua nyingine🤣Baadae kuja kuongea na demu akasema alipewa dawa ya kufunga na mama yake kumfanya awe na utepe tena.
Mumewe mpaka leo anaamini kambikiri mkewe kumbe demu keshabikiriwa toka kinda. Hata mimi sikumkuta na bikra.
Mbona umejikita kwenye masemango yaliyoambatana na chuki zidi ya wanaoamini hilo badala ya kujenga hoja zenye nguvu ili kutete hiyo title yako hapo juu?Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao.
Wapo wanaojua nini maana ya ndoa walioa wanawake wasio mabikira, hadi leo wanafurahia ndoa za zilizo katika ubora.
Ubikira hauifanyi ndoa kuwa bora. Kinachofanya ndoa iwe bora ni kwa wanandoa kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea. Mimi na mume wangu tusingeoana iwapo tugekosa hizo sifa za kuifanya ndoa iwe bora.
Mnaotafuta mabinti mabikira wa kuoa niwaambie bila kuwaficha.... "bado hamjapata akili ya kuishi na mwanamke - ninyi wenyewe sio mabikira halafu mnatafuta mabikira wa kuoa huo ni ujinga wa kiwango cha kokote."
Siku mkiacha ujinga mtafanikiwa katika ndoa as couple mliooana huku nyote mkiwa sio mabikira.
Mungu awaondolee ujinga.
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani mimi ni demu niwe bikra vip wewe? Mlija hauna mfuniko chupa ndo yenye mfuniko.
Umeipendea nini mkuu?Nimeipenda hii