........wengi wetu huwa tunadhani vigezo vibaya ktk kuchagua mwanamke ni shepu na sura tu, lakini pia wengi wetu tunadhani kwamba kuoa mwenye kazi au elimu kubwa ndo ujanja, wengi wetu huwa tunadhani taasisi ya ndoa inaendeshwa kidini ndio maana upendo ndani ya ndoa umekufa kwa sababu ya kuchaguana kwa itikadi za kidni, wengi wetu huwa tunadhani ndoa ni taasisi ya kiuchumi ndo maana upendo haupo tena coz watu wanachagua business partner badala ya love partner, wengi wetu hudhani.......endeleza comment hii kwa kuanza na neno wengi wetu hudhani.........