Kuoa mwanamke masikini

Kuoa mwanamke masikini

Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.

Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Tatizo huwezi kujua siku ukimuwezesha tabia yake halisi ni ipi.

Mtu masikini sana ni mnyenyekevu na mpole, akizipata hakuna rangi utaacha kuona
 
Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.

Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tum

Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.

Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
We jamaa, mwanamke kazi yake ni kuzaa kwa uchungu ila wewe kula kwa jasho. Yaani hapa unataka ale kwa jasho na kuzaa kwa uchungu kweli?
 
Back
Top Bottom