Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Kataa ndoa, ndoa ni ukatili mark my wordsNa siku mmezinguana nae anataka Mali 50/50 maaamae..![emoji38][emoji38][emoji38]
Daah kweliKa
Kataa ndoa, ndoa ni ukatili mark my words
Watu dhaifu huwa wakikosa hoja wanaanza kumshambulia mtoa hoja...oooh unamaanisha punyeto kama sikosei mkuu... Je, ni kwanini umeuliza kana kwamba unanijua hivi? Je, unanijua?
Eeh kwahy itabidi uwahi kurudi home mapema ili kumkanda Kanda kila idara mkuu😅😅👊
"Yaweza ikawa" unamaana hauna uhakika, sasa mbona umeni-reply as if you're 100 percent unanijua... Learn about self-awarenessYaweza ikawa
dini ya kislam inajua sana kulea wanawake kwa ujuzi na maadiliWanaotafuta mwanamke mwenye hela ni masikini, akitegemea mke naye achangie manunuzi ya unga na maharage; kwa imani zetu za kiarabu, mwanamke ni pambo la ndani hatakiwi kufanya kazi yoyote, zaidi ya kumkanda kanda mume, ndio maana Afghanistan wanalitekeleza hilo.
Mkuu hapo umeongea point sana. Shida Christian inapotoshwa Sana na wamagharibi Feminists Sana..!dini ya kislam inajua sana kulea wanawake kwa ujuzi na maadili
No hard feelings mkuu just enjoy your ride"Yaweza ikawa" unamaana hauna uhakika, sasa mbona umeni-reply as if you're 100 percent unanijua... Learn about self-awareness
Na wanawake hawazitaki hizo habari za Talban mwanamke kukaa nyumbani kazi yake kupigwa mimba tudini ya kislam inajua sana kulea wanawake kwa ujuzi na maadili
Ubaya pisi masikini na zenye vipengele ndo nyingi kinoma bongo me cha kukushauri mkuu gongelea msumari hapohapo hadi upate pisi yenye inajiweza... Hizi habari za atakuheshimu akiwa hajiwewezi zipuuze kwani heshima ya mtu inatokana na malezi... PISI ZENYE VIPENGELE ZIKIMBIE KAMA UKOMA
Inaruhusu wanawake wanaingia nusu uchi kanisani halafu wanawambia Mungu haangalii mavaziMkuu hapo umeongea point sana. Shida Christian inapotoshwa Sana na wamagaribi Feminists Sana..!
Nakazia!Yani azae kwa uchungu na bado ale kwa jasho..!!?? WTF
sio kweli hasa kwa hizi jamii zetu, vinginevyo ukaoe afghanistan au pwani, kidooogo ndio mwanamke anajua nini mwanaume anatakaWanaotafuta mwanamke mwenye hela ni masikini, akitegemea mke naye achangie manunuzi ya unga na maharage; kwa imani zetu za kiarabu, mwanamke ni pambo la ndani hatakiwi kufanya kazi yoyote, zaidi ya kumkanda kanda mume, ndio maana Afghanistan wanalitekeleza hilo.
Hii ni kweli kabisaUnakua na mwanamke hata kufa unaogopa maana unajua kizazi chako kitageuka tafrani
Mbona nyie wadada mnaolewaga na mwanaume kisa ana kazi nzuri au biashara nzuri Anita MakiritaUchumi ndio umetufikisha hapa… watu tunaonana mizigo….
Ukweli ni kwamba japokua Una hela sasa hivi mtoa mada ulikulia tabu au ushawahi ku struggle na pesa ujanani, kuna kipindi ulikua uncertain na uchumi wako, that’s why Unaona uwe na uhusiano na mwanamke anaye offer security, pole sana insecurities zako zitakuletea mahusiano yasio na furaha au utabaki mwenyewe baada ya mahusiano kuvunjika, leo Unaoa mwanamke ana kazi/biashara nzuri akifukuzwa kazini, biashara ikifa ndoa inakufa!!! Ni chaguo lako lakini
Lakini imeandikwa asiefanya kazi na asile..Mwanaume atakula kwa jasho hii ndo kanuni if you wish to go against it,you have crossed a red line
Mkuu una muoa yeye na hakuoi wewe na huoi umasikini wao na mwanamke akiolewa mali zao au umasikini wa kwo hajinao kwako na kwenye ukoo wenu.Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.
Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Mkuu uliachwa na masikini mwenzako au alikuwa binti tajiri.nimepigika sana kufika hapa nilipo leo...na niliwahi kuachwa kwa sababu ya umasikini wangu, leo nimejipata iweje nichukue mwanamke hohehae anaenuka changamoto na matatizo?