Kuoa mwanamke masikini

Kuoa mwanamke masikini

Eeh kwahy itabidi uwahi kurudi home mapema ili kumkanda Kanda kila idara mkuu😅😅👊
Wanaotafuta mwanamke mwenye hela ni masikini, akitegemea mke naye achangie manunuzi ya unga na maharage; kwa imani zetu za kiarabu, mwanamke ni pambo la ndani hatakiwi kufanya kazi yoyote, zaidi ya kumkanda kanda mume, ndio maana Afghanistan wanalitekeleza hilo.​
 
dini ya kislam inajua sana kulea wanawake kwa ujuzi na maadili
 
Ubaya pisi masikini na zenye vipengele ndo nyingi kinoma bongo me cha kukushauri mkuu gongelea msumari hapohapo hadi upate pisi yenye inajiweza... Hizi habari za atakuheshimu akiwa hajiwewezi zipuuze kwani heshima ya mtu inatokana na malezi... PISI ZENYE VIPENGELE ZIKIMBIE KAMA UKOMA

Bongo wanawake wengi wenye sifa za wake bora wanatoka familia zinazounga unga.

Matajiri ama watu wa kipato cha kati wanalea mabinti kimayai mayai sana na kizungu zungu. Hao mabinti mambo safi ukioa lazima uone pengo la mama wa ki africa linapwaya ndani ya nyumba kutoka kwa mkeo.
 
Ndoa sio hela wala elimu ni UPENDO KWANZA. Kwa upande wangu sasa hivi naangalia uwezo wake wa kiakili kuanzia kwenye maongezi. Inanikata sana stimu demu hana hela hata kuchangia tu mawazo hawezi. Hana hela halafu hata kuandika ndo wale wa kuchanganya R & L halafu kichwani mwake mtupu kabisa. Bora asiwe na hela hata kumi ila akili ziwemo. Nataka demu tukikaa tunaweza jadili hata mwelekeo mpya wa siasa za Urusi dhidi ya zile za Magharibi.
 
Wanaotafuta mwanamke mwenye hela ni masikini, akitegemea mke naye achangie manunuzi ya unga na maharage; kwa imani zetu za kiarabu, mwanamke ni pambo la ndani hatakiwi kufanya kazi yoyote, zaidi ya kumkanda kanda mume, ndio maana Afghanistan wanalitekeleza hilo.​
sio kweli hasa kwa hizi jamii zetu, vinginevyo ukaoe afghanistan au pwani, kidooogo ndio mwanamke anajua nini mwanaume anataka
 
Uchumi ndio umetufikisha hapa… watu tunaonana mizigo….

Ukweli ni kwamba japokua Una hela sasa hivi mtoa mada ulikulia tabu au ushawahi ku struggle na pesa ujanani, kuna kipindi ulikua uncertain na uchumi wako, that’s why Unaona uwe na uhusiano na mwanamke anaye offer security, pole sana insecurities zako zitakuletea mahusiano yasio na furaha au utabaki mwenyewe baada ya mahusiano kuvunjika, leo Unaoa mwanamke ana kazi/biashara nzuri akifukuzwa kazini, biashara ikifa ndoa inakufa!!! Ni chaguo lako lakini
Mbona nyie wadada mnaolewaga na mwanaume kisa ana kazi nzuri au biashara nzuri Anita Makirita
 
Wakuu hii ishu ya kumuowa mwanamke masikini asiekuwa na kila kitu mnaichukuliaje, kuna wanaume wengine kama mimi kigezo cha sura na tako wala sikipi uzito.

Mimi ni mpambanaji na kiuchumi walau niko vizuri inakuwaje nioe mwanamke masikini? yaani siku anakuja kwangu anakuja na kabegi kake ka nguo tu.
Mkuu una muoa yeye na hakuoi wewe na huoi umasikini wao na mwanamke akiolewa mali zao au umasikini wa kwo hajinao kwako na kwenye ukoo wenu.
 
nimepigika sana kufika hapa nilipo leo...na niliwahi kuachwa kwa sababu ya umasikini wangu, leo nimejipata iweje nichukue mwanamke hohehae anaenuka changamoto na matatizo?
Mkuu uliachwa na masikini mwenzako au alikuwa binti tajiri.
 
Back
Top Bottom