Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Nimelazimika kusoma jina la mwenye thread kisha nikawaza upo ktk hali ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaan kwa moto ninaoupata siku zile 5 za joto kwa mwanamke....aisee ndoa muhimu sana....nyeto na mkuyenge(I mean mkuyenge siyo hivo vidude vyenu)...ni vitu viwili tofauti...tena ni Mara mia ukapiga nyeto siku ambazo haupo hot kuliko ukiwa hot....aisee...ni kama unachochea moto.Daaah

Ukishindwa kuoa au kuolewa basi ni kheri ukawa na mpenz wa karibu ....yakipanda tu unasuguliwa,unasugua....hizo long distance trade mahusiano siyo deal i tell u...yaan hapana...ni kudanganyana....tena unaweza kuwa unavumilia kumbe mwenzio anabinua au kubinuliwa huko.

Jamani,hizi pesa zinatufanya tunashindwa kula kilichotuleta duniani vizuri.... Unaenda kukaa miez mitatu huko kusaka pesa umemwacha mkeo home,ukisikia amecheat unaua😳 aisee mnachuma dhambi za bure....heat Miez mitatu afu ukirudi unamdonoa tu ati umechoka....aiseee...kweli tutafika mbinguni na ugwadu viunoni na tumechoka sana....

Naruhusu +ve &-ve comments... Ila ukweli msiutupe sanaa
 
Wanawake wa design yako kunako kuwekana mnakuwa hot sana. Unapigwa bolo hadi utukanie ************aeee!
 
Muda mwingi nakuwa busy na kazi hii inanifanya nisi enjoy maisha ya mahusiano unakuta mwezi mzima nakuwa camp ni mwendo wa kupiga routes sometimes sina muda wa kukaa chini nikipata off ni wiki moja sina marafiki wakutumu hata kama hela napata lakini kuna vitu nakosa muda wote nakuwa monitored like machine
LAKINI NAWASHUKURU WANA JF TUMEKUWA MARAFIKI NIPO HAPA KWA MIAKA MITATU SASA NAPOPATA MUDA NAINGIA HUMU HUWA NAJIFUNZA MAMBO MENGI NA KUFURAHI TUMEKUWA FAMILIA MIMI SIO MTU WA KUCOMMENT SANA NA KUANZISHA NYUZI LAKINI TUPO PAMOJA.
 
Kama ni mwanajeshi nipm plzz
 
Ukipata mtu anaekupenda halafu kwenye sita kwa sita mnakua na same intimacy aiseeee ni raha bana
Unaweza mpigia mama mkwe simu kumuelezea balaa la mwanae[emoji16][emoji119]
Hahahahahaah chizi kwel weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom