Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Nimelazimika kusoma jina la mwenye thread kisha nikawaza upo ktk hali ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanawake wa design yako kunako kuwekana mnakuwa hot sana. Unapigwa bolo hadi utukanie ************aeee!
 
Muda mwingi nakuwa busy na kazi hii inanifanya nisi enjoy maisha ya mahusiano unakuta mwezi mzima nakuwa camp ni mwendo wa kupiga routes sometimes sina muda wa kukaa chini nikipata off ni wiki moja sina marafiki wakutumu hata kama hela napata lakini kuna vitu nakosa muda wote nakuwa monitored like machine
LAKINI NAWASHUKURU WANA JF TUMEKUWA MARAFIKI NIPO HAPA KWA MIAKA MITATU SASA NAPOPATA MUDA NAINGIA HUMU HUWA NAJIFUNZA MAMBO MENGI NA KUFURAHI TUMEKUWA FAMILIA MIMI SIO MTU WA KUCOMMENT SANA NA KUANZISHA NYUZI LAKINI TUPO PAMOJA.
 
Kama ni mwanajeshi nipm plzz
 
Ukipata mtu anaekupenda halafu kwenye sita kwa sita mnakua na same intimacy aiseeee ni raha bana
Unaweza mpigia mama mkwe simu kumuelezea balaa la mwanae[emoji16][emoji119]
Hahahahahaah chizi kwel weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimelazimika kusoma jina la mwenye thread kisha nikawaza upo ktk hali ganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbususu yenyewe itakuwa yeye kabisa 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…