Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twacher atabaka mwanafunzi wake karibuni😂😂😂😂 teacher bana
Tena dakika sifuri tu anadaka mwingineNdoa za sikuhiz ukifa tu Mwingine anachana balaa
KabisaKuepuka watu kukurupuka then talaka ingefaa elimu ya kutosha kuhusu chaguo sahihi mfano ishu za damu, tabia, majira, herufi, namba,umbo nk zinazoendana watu wakiwa na elimu hii ya kutosha kuachana hakupo. Taifa bora utokana na ndoa bora.
Na jembe likiacha kuwa jembe, umwambie mama yeye ndo akutumie helaMama mkwe kuna kiasi kidogo nakutumia hapo maana kazi anayofanya hili jembe lako ni balaa mama angu 😆
Ila mapenzi ni matamu bana ukieka kuumizwa pembeni.....ni rahaaaaaaaaa
What happened To yeye ??Am single mom and self servicer but that's my opinion too
Nisiwe (me) mnafiki kiukwel huaga nakukubali kinyama hasa mchango wako kwa jukwaa!!Yaan kwa moto ninaoupata siku zile 5 za joto kwa mwanamke....aisee ndoa muhimu sana....nyeto na mkuyenge(I mean mkuyenge siyo hivo vidude vyenu)...ni vitu viwili tofauti...tena ni Mara mia ukapiga nyeto siku ambazo haupo hot kuliko ukiwa hot....aisee...ni kama unachochea moto.Daaah
Ukishindwa kuoa au kuolewa basi ni kheri ukawa na mpenz wa karibu ....yakipanda tu unasuguliwa,unasugua....hizo long distance trade mahusiano siyo deal i tell u...yaan hapana...ni kudanganyana....tena unaweza kuwa unavumilia kumbe mwenzio anabinua au kubinuliwa huko.
Jamani,hizi pesa zinatufanya tunashindwa kula kilichotuleta duniani vizuri.... Unaenda kukaa miez mitatu huko kusaka pesa umemwacha mkeo home,ukisikia amecheat unaua[emoji15] aisee mnachuma dhambi za bure....heat Miez mitatu afu ukirudi unamdonoa tu ati umechoka....aiseee...kweli tutafika mbinguni na ugwadu viunoni na tumechoka sana....
Naruhusu +ve &-ve comments... Ila ukweli msiutupe sanaa
Sijaelewa! Tafsiri nielewe bibieAm single mom and self servicer but that's my opinion too
MwambieSijaelewa! Tafsiri nielewe bibie