Kuoa na kuolewa ni muhimu aisee

Damu zikipatana mtaishi kama rafiki, hizi ndo zile akifa mmoja mwingine akawii nae kumfuata. Na sio zile akifa mmoja aliyebaki unawiri.
 
Kuepuka watu kukurupuka then talaka ingefaa elimu ya kutosha kuhusu chaguo sahihi mfano ishu za damu, tabia, majira, herufi, namba,umbo nk zinazoendana watu wakiwa na elimu hii ya kutosha kuachana hakupo. Taifa bora utokana na ndoa bora.
 
Ngoja CHAPUTA na Single mothers walipoti huu uzi kwa mode ufutwe!๐Ÿ˜‚
 
Kuepuka watu kukurupuka then talaka ingefaa elimu ya kutosha kuhusu chaguo sahihi mfano ishu za damu, tabia, majira, herufi, namba,umbo nk zinazoendana watu wakiwa na elimu hii ya kutosha kuachana hakupo. Taifa bora utokana na ndoa bora.
Kabisa
 
Mama mkwe kuna kiasi kidogo nakutumia hapo maana kazi anayofanya hili jembe lako ni balaa mama angu ๐Ÿ˜†

Ila mapenzi ni matamu bana ukieka kuumizwa pembeni.....ni rahaaaaaaaaa
Na jembe likiacha kuwa jembe, umwambie mama yeye ndo akutumie hela
 
Nisiwe (me) mnafiki kiukwel huaga nakukubali kinyama hasa mchango wako kwa jukwaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ