Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Si bure kuna njemba ishapita saivi umeridhika sasa 😅Mada ya Jana achana nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bure kuna njemba ishapita saivi umeridhika sasa 😅Mada ya Jana achana nayo
Nani tena anaoa huyoo🤣🤣🤣☺️☺️☺️ Mwanawane utafaidi dah.. Nipo kwenye kikao leo cha kuvuta jiko 😅😅😅😅
🤣🤣🤣 haya bana niishie hapaNingeshukuru mbona
Mzee najiandaa kuwa mume wa mtoto wa mtu 😅😅😅😅 kama nimeshikwa hivi na mtoto mmoja flani hiviNani tena anaoa huyoo🤣🤣🤣
Hatimaye aiseee hongera mkuu 👏👏👏 mpaka unaweka ndani hiyo pisi itakuwa imesimama hatari🤣🤣🤣Mzee najiandaa kuwa mume wa mtoto wa mtu 😅😅😅😅 kama nimeshikwa hivi na mtoto mmoja flani hivi
Kama jimbo lipo wazi weka sifa za mgombea chap tule christmas ndani ya jimbo!Ningeshukuru mbona
Mmmh! Nafsi inauma ila bas tu....[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji6]
Ila ww acha nikae kmya....!![emoji23]hakuna namna
Kiukwel nakukubali knyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji135]
Nina mafua siwezi kuandika vizuri😀Yaan kwa moto ninaoupata siku zile 5 za joto kwa mwanamke....aisee ndoa muhimu sana....nyeto na mkuyenge(I mean mkuyenge siyo hivo vidude vyenu)...ni vitu viwili tofauti...tena ni Mara mia ukapiga nyeto siku ambazo haupo hot kuliko ukiwa hot....aisee...ni kama unachochea moto.Daaah
Ukishindwa kuoa au kuolewa basi ni kheri ukawa na mpenz wa karibu ....yakipanda tu unasuguliwa,unasugua....hizo long distance trade mahusiano siyo deal i tell u...yaan hapana...ni kudanganyana....tena unaweza kuwa unavumilia kumbe mwenzio anabinua au kubinuliwa huko.
Jamani,hizi pesa zinatufanya tunashindwa kula kilichotuleta duniani vizuri.... Unaenda kukaa miez mitatu huko kusaka pesa umemwacha mkeo home,ukisikia amecheat unaua😳 aisee mnachuma dhambi za bure....heat Miez mitatu afu ukirudi unamdonoa tu ati umechoka....aiseee...kweli tutafika mbinguni na ugwadu viunoni na tumechoka sana....
Naruhusu +ve &-ve comments... Ila ukweli msiutupe sanaa
Nipo tyr ka harmonize nitaubebaWee,usiniambie!!? Na mnavyotuona single moms kama mazaigoti[emoji40]