Kuoa ni lazima?

Kuoa ni lazima?

Swali ni rahisi ila majibu ndo mtihani asee... Kuna wana wameoa nawaona wanavyoteseka hadi roho inaniuma.... Alafu ni hawa wa tutakuwa wote hadi kifo kitutenganishe, wananyooshwa kinomanoma.
Mie namsubiria Yna2 yamshinde huko alipo niamue kuzika au kuchoma moto 🙄
 
Kuoa sio lazima, lakini katika Uislam ni tendo la Sunna lililotiliwa nguvu...
بسم الله الرحمن الرحيم.
وَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تُقْسِطُواْ فِى ٱلْيَتَٰمَىٰ فَٱنكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ مَثْنَىٰ وَثُلَٰثَ وَرُبَٰعَ ۖ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلَّا تَعْدِلُواْ فَوَٰحِدَةً.
Ikiwa mna khofu ya kutowafanyia wema mayatima basi oweni miongoni mwa mnaowapenda katika wanawake wawili na watatu na wanne, ikiwa ikiwa mna hofu ya kutowafanyia uadilifu basi oweni mmoja.

القاعدة
Katika Uislam mtoto wa nje ya ndoa harithi.
 
Hasa hasa ukipata ugonjwa wa kuugua muda mrefu,ndugu watakuchoka
Mkuu mke una uhakika gani hatakuchoka?..kukuchoka atakuchoka sema hana jinsi..wewe pata hizo shida mwanzoni mwa ndoa na iwe hamna hata mtoto uone balaa lake..
 
Mim kuoa napenda,ila sipend kuwa na watoto.

Nikpata mwanamke mwenye wazo kama langu,mzuri,naoa
 
Swali linalotaka jibu sahihi.

Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?

Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress
Ni wewe tu kuchagua kuoa ili masela wakutombee mke au uache kuoa umiliki demu (na yeye lazima masela watamla maana siku hizi hakuna demu wa peke yako)
 
Ni kwa nini Mungu asimuache Adam peke yake? Nijibu swali "NI LAZIMA "
Usilinganishe zama zile na hizi wewe...enzi hizo hakukuwa na watu wengine hivyo Adamu asingempata Hawa asingekuwa na mbinu nyingine maana hakukuwa na mademu wengine.
Ila sa hivi unaweza kuachana na demu dakika hiyo hiyo unadaka mzigo mpya[emoji854]
 
Wengine wanaoa ili wapate watu wa kuwauguza wakati wakiugua[emoji23][emoji23][emoji23]nani kawaambia hayo maneno?
 
Siku diamondplatnumz akioa ndio na mimi nitaanza kufikiria mpango wa kuoa.... he's my role model
Kwasasa wacha nile bata na nizifaidi pesa zangu mwenyewe na pisi kali ila kuoa ni Big no kwasasa.
Sihitaji stress zisizo na maana za mke, wakwe & mashemeji!!!!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali linalotaka jibu sahihi.

Kama Mwanaume anapata kila anachotakiwa kukipata kwenye ndoa kwa njia mbadala, kuna haja ya Kuoa?

Sex atapata nje
Mtoto atamzalisha mtu
Kufua kuna Laundry
Out kuna Hunters
Kula hotelini,

Uzuri hapati stress

Ukiona maelekezo yaliyoandikwa kwenye vitabu vya Imani (Quran na Bible) ujue waliotangulia walimhoji aliyewaumba. Ndiposa ikatoka Amri "usitamani mwanamke asiye mke wako".
 
Back
Top Bottom