Hawa single maza wengi wao ni umalaya tu ndio ulikuwa unawasumbua, japo si wote wengine walizalishwa kwa bahati mbaya. Ngoja niwape mfano juzi kati nilienda mkoa fulani nikakutana na mtoto mzur basii stor mbil tatu nikaingiza maneno mazur mtoto kaelewa, nikaanza kujipigia badae akaniambia mara mtoto wangu sijamwacha powa, nikamuuliza kumbe una mtoto!

Akasema yap, nikamuuliza wewe uyo mtoto ulimpata lin akasema tangu yupo kidato cha pili! Nikaguna kidog yan huwez amin uyu manzi imajini alikuwa anasafir kutoka mkoa mmoja mpk mwingine yupo kidato cha pili apo anafuata mkulungenge, sasa nyie mnaojifanya mnapenda penda ovyo sana single mama endeleeni kitachowapata mtajua wenyewe
 
[emoji23] yameshanikuta mimi apa anayejifanya kichwa kigumu shauri yake
 
Ila we jamaaa [emoji23][emoji23] mhurumie mwenzako anatafuta hifadhi [emoji26][emoji26]
 
Kabla ya kuoa single mother, mdadisi ni kwa nini asiolewe na aliyezaa nae, kisha mtafute aliyezaa nae umdadisi akueleze sababu ya kutomuoa. Jumlisha sababu za pande mbili tafuta wastani, jibu litaamua uoe au usioe.
 
Hivi single mother kama wanakukera oa single father acha kutesa mioyo ya watu tafuta maisha unaonekana unasumbua mwenyewe hujitambui
 
Kabla ya kuoa single mother, mdadisi ni kwa nini asiolewe na aliyezaa nae, kisha mtafute aliyezaa nae umdadisi akueleze sababu ya kutomuoa. Jumlisha sababu za pande mbili tafuta wastani, jibu litaamua uoe au usioe.
Hata hizo simulizi zao zinaweza zisikupe hitimisho sahihi mana kila mtu atajitetea aonekane hana kosa na mwenzake ndo ana kasoro.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ushauri kwa wanaolinganisha na soda, ikifunguliwa soda uwe makini, ukisikia "pseeeeee" ya nguvu ni soda bora. Usiposikia ujue ni flat au kizibo kimeegeshwa kiaina.
 
Haitoshi. Ni sawa na kununua soda iliyofunguliwa na kutemewa mate
 
Picha linaanza kuishi na mwanamke inahitaji akili ...sasa kuishi single leaved mother c zaidi ya akili ya kawaida inahitajika
 
Pole jidanganye, ukiona Ameolewa anatafuta FARAJA akiona hamna faraja anaondoka, kumbuka faraja sio maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…