Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Poleni na mfumko wa bei katika nchi yenye maziwa na asali huku thamani ya pesa ikiwa chini.

Katika pilikapilika za maisha nikakutana na mwanamke ambae baada ya kufahamiana vizuri aliamua kusema ukweli kuwa ana mtoto alimpata na mwanaume mwingine lakini mahusiano hayakudumu wakaachana. Lakini walikuwa hawajafunga ndoa.

Kwasasa mtoto ni mkubwa kabisa anamiaka 9. Sasa baada ya kuanza mchakato wa kuwa kwenye mahusiano dada analeta masharti mengi sana yaani kwamba hawezi kuja nyumbani kwangu hadi niende kwao nikajitambulishe na kumtolea mahari ndyo atakuja nyumbani kwangu kunitembelea. Hataki kutoka out ili tupate muda wa kujuana vizuri kupitia mazungumzo.

Pia huyu mama anataka ndoa faster faster sana hadi naogopa. Changamoto kubwa ukimuuliza kwanini aliachana na baba wa mtoto wake hana majibu ambayo yanaakili. Pia ni mdada mjanja mjanja sana. Anasema ameachana na huyo mwanaume wake 5 years ago lakini hajawahi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine halafu ni mgoni🥱.

Kinachonishangaza huyu single mother anataka nifuate sheria kama vile bado yupo bikra. Hataki kuji expose kabisa tabia zake lakini within a month anataka ndoa. Anapenda sana pesa ambazo hazina maelezo ya matumizi kabisa. Lakini kiukweli nahitaji kumjua sana kabla sijaingia chaka maana I have trust issue!
PIGA CHINI KWA FAIDA YA MAISHA YAKO
 
Nakupa ukweli mchungu, Huyo singomaza kashakuona Wew pimbi, zuzu na unampenda Sana ndo maana anakufanyia hivo visa sababu kakuona wakuja kwa hiyo Kua makini inawezkana hata Wew mwenyew hakupendi anapima tu upepo Kama utamuoa Sawa Ili nayeye aonekane Ana mume na vile vile inaonesha wew Una vihela, so Kua makini Sana Hapo soon utapigwa na kitu cha ncha Kali kwa kisogo...
Nakazia
 
Mkuu,Mwanamke akidai NDOA,akifikiri kwama unataka kumtumia na akitaka kukupa pressure na stress ambazo hazikuhusu.KIMBIAAAAAAAAAAAAAA.
 
Inaonekana unampenda Ila naona kabisa Manzi anakuona boya[emoji28]

Ila kwakua umempenda katoe mahari tuje tule ubwabwa [emoji1][emoji1][emoji1]

Mtavumiliana Tu[emoji38][emoji38]
 
Poleni na mfumko wa bei katika nchi yenye maziwa na asali huku thamani ya pesa ikiwa chini.

Katika pilikapilika za maisha nikakutana na mwanamke ambae baada ya kufahamiana vizuri aliamua kusema ukweli kuwa ana mtoto alimpata na mwanaume mwingine lakini mahusiano hayakudumu wakaachana. Lakini walikuwa hawajafunga ndoa.

Kwasasa mtoto ni mkubwa kabisa anamiaka 9. Sasa baada ya kuanza mchakato wa kuwa kwenye mahusiano dada analeta masharti mengi sana yaani kwamba hawezi kuja nyumbani kwangu hadi niende kwao nikajitambulishe na kumtolea mahari ndyo atakuja nyumbani kwangu kunitembelea. Hataki kutoka out ili tupate muda wa kujuana vizuri kupitia mazungumzo.

Pia huyu mama anataka ndoa faster faster sana hadi naogopa. Changamoto kubwa ukimuuliza kwanini aliachana na baba wa mtoto wake hana majibu ambayo yanaakili. Pia ni mdada mjanja mjanja sana. Anasema ameachana na huyo mwanaume wake 5 years ago lakini hajawahi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine halafu ni mgoni🥱.

Kinachonishangaza huyu single mother anataka nifuate sheria kama vile bado yupo bikra. Hataki kuji expose kabisa tabia zake lakini within a month anataka ndoa. Anapenda sana pesa ambazo hazina maelezo ya matumizi kabisa. Lakini kiukweli nahitaji kumjua sana kabla sijaingia chaka maana I have trust issue!
Sijakuelewa kuwa umetupatia taarifa au unaomba ushauri
Kwa sababau umetoa changamoto inayokukabili na suluhisho lake
 
Back
Top Bottom