Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kabla sijafika paragraph ya mwisho, nlivosoma tu iyo paragraph ya 3 nilijua tu huyo single Mother ulie naye ni golddigger, havutiwi na wewe kimapenzi, anakupendea hela.. Kumbuka hii redpill fact, "women make rules for betas but Break rules for alphas" The Bliss
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
"Lakini kiukweli nahitaji kumjua sana kabla sijaingia chaka maana I have trust issue!" TATIZO LIPO KWAKO UMESHAMJUA KUWA HAFAI UNATAKA NINI TENA.
Kiukweli achana na uyoo bi dada utakufa kichwa chini miguu juu anatafuta njia yakumringishia mzazi mwezie huna haja ya kumjua snaa kikubwa achana naye utakuja Lia na kusema Bora ningetafuta ambaye hajazalishwa
 
Katika maisha kila binadamu ana mawazo yake na mtazamo kuhusu jambo fulani. Kiuhalisia hakuna mwanamke duniani anayependa kuwa single maza anayependa kulea mtoto mwenyewe bali asilimia kubwa ni changamoto tu mahusiano kwani siku zote moyo wa mtu ni kichaka.

Ktk hali ya kawaida mara ngapi wanaume wanaanzisha mahusiano na wanawake wanawekeza muda wao nguvu zao na matumaini kuwa huyu binti/ mwanamke siku moja atakuja kuwa mke wangu lkn mwisho wa siku anaachwa mwanaume. Sasa kwa mazingira hayo hayo ndio yanayotokea kwa single maza.

Hivyo tusiwe wepesi wa kuwahukumu kuna sababu mbalimbali zinazopelekea hayo-
1. Kuna kubakwa.
2. Kutokubaliana na tabia mbaya za mtu ambazo hazibebeki na kuamua kumove on.
3.Kuingia kwenye mahusiano mabaya ( moyo wa mtu kichaka)
4. Kumwamini mtu kupitiliza.
5.Na asillimia chache sana wapo wanaojishikisha ili kuwin upendo wa mwanaume ila hii ni kwa wale wanawake wenye IQ ndogo ya kufikiri.

Hivyo if you can't help them don't hurt them. Hata kama hamuwezi kuwaoa basi msitoe maneno ya kejeli. Imagine angekuwa dada yako ndo single unaweza kuongea haya kwa ujasiri.

Ni mawazo yangu lakn.
 
Dah kama mi nmetokea kupendana na single maza m1,ni chuma hatar, bado hatujaanza mahusiano rasmi,nipo kwenye probation,.kwa uzur wa huyu dada sjui itakuaje,..na amenielewa kwelkwel,namii nimemuelewa,nshamtoa diner moja,mediteraneo pale,yaan mdada mzur had ananipa mawazo,nawaza kanielewaje hiv mtoto kama huyu,.sijapata jib,af inaonekana huko alikokua kulikua njema saana,yan ile saana,ila kuna kitu alikiongea,maana tulivotoka pale nkampeleka sehem nkamnunulia mwanae pizza ampelekee home,sasa kuna kitu akadokeza,ndo kinanipa mawazo kweli,niingie mazima au la..
Kama ni mwenye jiko hapo sinza mchagga achana naye utakuja jutia maamuzi yako mbeleni
 
Habari za mchana huu wanaJF wenzangu.

Kama ilivyo kawaida, sisi kama wanajamii tunakuwa na mijadala tunayoileta kwa lengo la kuondoa utata, kuelekezana, kufafanuliana na kujengana ili kuwa na jamii yenye uafadhali tofauti na jamii zingine.

Leo naomba kuwashukia masingle mother (sio single parents) tena kama kawaida yetu sisi wanaume tunaopambana na stress za maisha na mahusiano kwa wakati m'moja.

Hawa viumbe wameanza kuwa miongoni mwa matatizo ya kitaifa ukijumlisha maradhi, umasikini, na ujinga. Hivyo baba wa taifa angekuwapo miaka hii natumai angekuwa katika hotuba zake anasema kuna nyufa mpya katika taifa nayo ni usingle mother ambayo inachangia kutuharibia maadili ya kizazi na kuzalisha kizazi cha hovyo kabisa.

Hebu niwahoji ninyi watoto wa kike ambao hadi sasa kwa mienendo yenu mnaonesha dalili ya kuwa future single mothers kutokana na mienendo yenu ya kipuuzi.

Hivi, unapokuwa unaleta kibes, kiburi, ubishi, dharau, ujuaji, mambo mengi kwa mwanaume rijali anaeitambua nafasi yake katika jamii na taifa kwa ujumla, unataraji vipi wewe kuwa na sifa ya kuwa under hizi protection na care.

Wanaume tunacare na kuprotect vile vyetu ambavyo vinatuhusu na sio kitu chochote ambacho hakinihusu. Ukiniletea jeuri au kiburi, au ukanidharau usitegemee kesho nitatumia hata shillingi mia yangu kwako nitakuona ni mpinzani na nitaanza kuzaa mbegu ya chuki ndani yangu juu yako.

Ni kama kwenye kampuni, kuna ranks za kimamlaka na vyeo. Huwezi kuta mlinzi anaparamia majukumu ya CEO kwasababu jana usiku alitazama video ya motivation speaker ambaye alimwambia "unaweza kutoka kuwa mlinzi wa kampuni na kuwa CEO overnight kama tu ukiamua",maana akishafanya hivyo tayari anakiuka masharti ya kazi yake na pia haiwezekani kiuhalisia yeye kiwa CEO katika mazingira ya hiyo kazi kwa wakati huo.

Hii ni kama kwenye maisha, kama umeshajua wewe gender yako ni mwanamke kwann utake kuanza kuvamia majukumu ya kiume na hata pale anapotokea mwanaume amekuelewa wewe unakuwa mpinzani wake kwa kulazimisha kukalia nafasi yake ukijua wazi yeye hawezi kaa yako?!

Hivi umesikia wapi kuna mwanaume anaeng'ang'ania kwenda clinic, au kuhesabu nyanya na vitunguu vimebakia vingapi na kuanza kubishana na mkewe kuhusu maswala ya jikoni.

Kwa kifupi, jamii inajua kabisa kuwa mwanaume au mtoto wa kiume amezaliwa kuwa kiongozi hiyo ipo wazi. Ila kwasasa kutokana na mawazo ya kifeminist ya nchi za nje tunataka kubishana na huo ukweli ona sasa nani anaeumia mwisho wa mchezo.

Hii idadi inayoongezeka ya masingle mother inareflect level ya upumbavu inayotamalaki katika vichwa vya hawa watoto wakike wa sasa. Mbona mama zetu hawakupitia huu upumbavu.

Ila mnajua sababu ni viburi ndivyo vinawaponza na uhalisia unaishia kuwapunish.

Tazama mdada kama jokate, jide, madam rita, na wengineo ambao hawana majina ana kazi na ana uwezo wa kifedha kujitegemea ila hakuna mwanaume anamsogelea sio kwasababu sio wanawake bali kwasababu wana lack ile essential component au qualification inayomtambua mwanamke kuwa submissive kwa mwanaume.

Shida jamii ya sasa na thinking class yetu ya inchi hii inajaribu kuaminisha kuwa mwanamke strong ni yule anaebishana na mwanaume, anaefanya mipango yake nje ya mipango ya familia yake na mumewe, ambaye anaongea kupita maelezo, ambaye ana mali na hazimfaidishi mumewe hata robo, ambae anapambana bila mume.

Mbona hatuongelei the darkest truth about the lives of single mothers and women....

Kuna kitabu nitashare link yake hapa. Kimeandikwa na mdada wa kimarekani ambaye ameelezea social impact ya malezi ya mzazi m'moja yaani mama katika jamii ya watu weusi.

Katika mojawapo ya kurasa, ameeleza namna hawa wanawake ambae hutumia muda mwingi kupambana ili kusapoti watoto wao na wao kutaka mtu wa kuwafariji. Kwasababu ya kukosa submissions nature kwenye characters zao so unawalazimu kutafuta mwanaume ambaye hatamcontrol kimaamuzi na ambaye hata assume full authority kwenye maisha yake. Kimbilio lao ni mume wa mtu, marioo /mama's boy , na watoto wadogo yaani young boys below 18 years na muda mwingine wanawake wenzao a.k.a usagaji.
Na zaidi hujaribu kuwa na multiple partners ambao hawa huwapa wakati mgumu sababu hawawapi attention wanayotaka na ni tishio la kuleta maradhi ya zinaa na kuwahatarishia watoto kumkosa mtu wa kuwatunza. All this trouble in the name of embracing the single life ambayo raha yake huenda ikipotea na ujana.

Hebu nenda mtafute mdada wa miaka 40 ambaye ni single mother by choice halafu kamuulize akupe honest truth kuwa nini ambacho anajutia, hautaamini atachokujibu mimi nimeshawaulizia.
So mkiona tunawapigia kelele hivi, hii sio sauti yetu sisi wanaume wenye stress za maisha bali ni sauti ya MUNGU kuja kwenu sababu, sometimes, MUNGU humtumia adui yako kukupa ujumbe wake maana anajua utamsikiliza na kunotice mapema zaidi.
Sasa ninyi mnatuona kwasasa sisi ni maadui zenu sababu ya kuwafokea ila ipo siku mtaona why tulikuwa tunawaelekeza hapa na ubishi wenu kwenye hayo makichwa yasiyosikia na yamejazwa na viburi na jeuri kisha zikafunikwa na mawigi ya nywele haramu za kafara.

Huwa najiuliza, ninyi mabinti wapumbavu ambao huwa mnakuwa mnawafuata hawa wanaotukuza usingle mother hivi mnajua what the future holds for u....?!

Haya endeleeni na upuuzi wenu....!
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom