Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Yaani huyo haoni hata aibu kupretend...she is not real..afu pia anakuona mlugaluga kukuletea pozi za kizamani akidhani ndo utamuona anafaa wakati kumbe analeta stress. Weka ugoko aweke jiwe ndo utajua
 
Poleni na mfumko wa bei katika nchi yenye maziwa na asali huku thamani ya pesa ikiwa chini.

Katika pilikapilika za maisha nikakutana na mwanamke ambae baada ya kufahamiana vizuri aliamua kusema ukweli kuwa ana mtoto alimpata na mwanaume mwingine lakini mahusiano hayakudumu wakaachana. Lakini walikuwa hawajafunga ndoa.

Kwasasa mtoto ni mkubwa kabisa anamiaka 9. Sasa baada ya kuanza mchakato wa kuwa kwenye mahusiano dada analeta masharti mengi sana yaani kwamba hawezi kuja nyumbani kwangu hadi niende kwao nikajitambulishe na kumtolea mahari ndyo atakuja nyumbani kwangu kunitembelea. Hataki kutoka out ili tupate muda wa kujuana vizuri kupitia mazungumzo.

Pia huyu mama anataka ndoa faster faster sana hadi naogopa. Changamoto kubwa ukimuuliza kwanini aliachana na baba wa mtoto wake hana majibu ambayo yanaakili. Pia ni mdada mjanja mjanja sana. Anasema ameachana na huyo mwanaume wake 5 years ago lakini hajawahi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine halafu ni mgoni🥱.

Kinachonishangaza huyu single mother anataka nifuate sheria kama vile bado yupo bikra. Hataki kuji expose kabisa tabia zake lakini within a month anataka ndoa. Anapenda sana pesa ambazo hazina maelezo ya matumizi kabisa. Lakini kiukweli nahitaji kumjua sana kabla sijaingia chaka maana I have trust issue!
Asipojithamini yeye binafsi, atathaminiwa na nani, kama watongozaji ndio wa aina yako?
 
Huo mlango wa 7 yani ni mpigaji kana papa msofe
 
Kabla sijafika paragraph ya mwisho, nlivosoma tu iyo paragraph ya 3 nilijua tu huyo single Mother ulie naye ni golddigger, havutiwi na wewe kimapenzi, anakupendea hela.. Kumbuka hii redpill fact, "women make rules for betas but Break rules for alphas" The Bliss
 
Back
Top Bottom