Ni addiction yanguUnapenda threesome?
Hakuna mtu hapo. Piga usepe...... Achana nae huyo atakuja kukupotezea focus huko mbeleniPoleni na mfumko wa bei katika nchi yenye maziwa na asali huku thamani ya pesa ikiwa chini.
Katika pilikapilika za maisha nikakutana na mwanamke ambae baada ya kufahamiana vizuri aliamua kusema ukweli kuwa ana mtoto alimpata na mwanaume mwingine lakini mahusiano hayakudumu wakaachana. Lakini walikuwa hawajafunga ndoa.
Kwasasa mtoto ni mkubwa kabisa anamiaka 9. Sasa baada ya kuanza mchakato wa kuwa kwenye mahusiano dada analeta masharti mengi sana yaani kwamba hawezi kuja nyumbani kwangu hadi niende kwao nikajitambulishe na kumtolea mahari ndyo atakuja nyumbani kwangu kunitembelea. Hataki kutoka out ili tupate muda wa kujuana vizuri kupitia mazungumzo.
Pia huyu mama anataka ndoa faster faster sana hadi naogopa. Changamoto kubwa ukimuuliza kwanini aliachana na baba wa mtoto wake hana majibu ambayo yanaakili. Pia ni mdada mjanja mjanja sana. Anasema ameachana na huyo mwanaume wake 5 years ago lakini hajawahi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine halafu ni mgoni🥱.
Kinachonishangaza huyu single mother anataka nifuate sheria kama vile bado yupo bikra. Hataki kuji expose kabisa tabia zake lakini within a month anataka ndoa. Anapenda sana pesa ambazo hazina maelezo ya matumizi kabisa. Lakini kiukweli nahitaji kumjua sana kabla sijaingia chaka maana I have trust issue!
Sawa sawa,tutapiga mojaNi addiction yangu
Upo sahihi sana mkuu hakika maneno mazuri siku zote ni sadaka hivyo ubarikiwe sana kwa ushauri huu mzuri." UKWELI USEMWE TU".Kheri ya Mwaka Mpya
Vijana ambao hamjaoa, Kaka yenu Jokajeusi anasema msioe single-mother hata Kama mmeshikiwa bunduki.
Singel mother hasa waliozaliwa miaka kuanzia ya 90 mpaka sasa hao achaneni nao kabisa. Mkiwaona wapeini moyo, wasapotini kwenye vibiashara vyao na kazi zao ili wapate walau pesa za kujifariji, Ila kamwe msithubutu kuwaoa. Ni shimo refu Sana lenye Giza ambalo kutoka humo ni ngumu.
Ukifikiria kuoa single mother sharti ufikirie Yafuatayo;
1. Mzazi mwenza
Je uutamudu mawasiliano Yao.
Je upo tayari kukubali uwepo wa mzazi mwenza kwenye ndoa yenu?
Je upo tayari kusikia pesa hii imetoka Kwa mzazi mwenza wa Mkeo?
2. Kumtunza Mtoto uliyemkuta
Je upo tayari kumtunza Mtoto asiyewako?
Kama hauko tayari unafikiri Mkeo atafurahi mtoto wako awe anasoma shule nzuri, anavaa vizuri wakati Mtoto wake Kwa mzazi mwenzake (mume mwenza) hapendezi na anasoma shule Mbaya.
Au je utavumilia mtoto wako huwezi kumhudumia anasoma shule Mbaya na anavaa marapurapu alafu wakati huo mtoto wa mume mwenza akiwa anapendeza ndani ya nyumba yako?
3. URITHI
Je unafikiri ukifa Mkeo atakubali mtoto wake aliyempata nje ya ndoa akose Mali Kwa kisingizio chochote kile?
Ikiwa tuu wanawake wanang'ang'ania Mali ambazo wamezikuta Kwa waume zao wakidai wapewe nusu Kwa nusu unafikiri watakubali?
Kama unafikiri hivyo jua wewe bado mtoto Sana kuwafahamu Wanawake.
Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.
Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.
Msioe single-mother ni hatari Kwa maisha yenu.
Ujanani utateswa na wasiwasi WA mzazi mwenza kisha uzeeni utateswa na karaha za watoto wa kambo hasa wa Zama hizi.
Kikawaida wanawake wengi hupewa mimba na wanaume waliowapenda au wenye hadhi waitakao na kukubali kuolewa na watu wasiowapenda na wenye hadhi ya chini Kabisa.
Kabla hujamuoa single-mother jiulize Kwa jinsi alivyo Kama angekuwa Hana mtoto angekukubalia umuoe?
Au anakubali ili uokoe jahazi?
Wenye mapovu nimeshawazoea
Kuna mmoja nilikuwa nae, alikuwa ameachika akiwa na mtoto mmoja, kila nikitaka kumwacha ananing'ang'ania, anakuja analia kweli kweli eti ooh nimekuzoea, Mara aje na huyo mtoto wake, nikajihisi kabisa sitaweza kuwa na mke ambaye anamtoto wakati Mimi ni kijana mdogo 26yrs.Kheri ya Mwaka Mpya
Vijana ambao hamjaoa, Kaka yenu Jokajeusi anasema msioe single-mother hata Kama mmeshikiwa bunduki.
Singel mother hasa waliozaliwa miaka kuanzia ya 90 mpaka sasa hao achaneni nao kabisa. Mkiwaona wapeini moyo, wasapotini kwenye vibiashara vyao na kazi zao ili wapate walau pesa za kujifariji, Ila kamwe msithubutu kuwaoa. Ni shimo refu Sana lenye Giza ambalo kutoka humo ni ngumu.
Ukifikiria kuoa single mother sharti ufikirie Yafuatayo;
1. Mzazi mwenza
Je uutamudu mawasiliano Yao.
Je upo tayari kukubali uwepo wa mzazi mwenza kwenye ndoa yenu?
Je upo tayari kusikia pesa hii imetoka Kwa mzazi mwenza wa Mkeo?
2. Kumtunza Mtoto uliyemkuta
Je upo tayari kumtunza Mtoto asiyewako?
Kama hauko tayari unafikiri Mkeo atafurahi mtoto wako awe anasoma shule nzuri, anavaa vizuri wakati Mtoto wake Kwa mzazi mwenzake (mume mwenza) hapendezi na anasoma shule Mbaya.
Au je utavumilia mtoto wako huwezi kumhudumia anasoma shule Mbaya na anavaa marapurapu alafu wakati huo mtoto wa mume mwenza akiwa anapendeza ndani ya nyumba yako?
3. URITHI
Je unafikiri ukifa Mkeo atakubali mtoto wake aliyempata nje ya ndoa akose Mali Kwa kisingizio chochote kile?
Ikiwa tuu wanawake wanang'ang'ania Mali ambazo wamezikuta Kwa waume zao wakidai wapewe nusu Kwa nusu unafikiri watakubali?
Kama unafikiri hivyo jua wewe bado mtoto Sana kuwafahamu Wanawake.
Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.
Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.
Msioe single-mother ni hatari Kwa maisha yenu.
Ujanani utateswa na wasiwasi WA mzazi mwenza kisha uzeeni utateswa na karaha za watoto wa kambo hasa wa Zama hizi.
Kikawaida wanawake wengi hupewa mimba na wanaume waliowapenda au wenye hadhi waitakao na kukubali kuolewa na watu wasiowapenda na wenye hadhi ya chini Kabisa.
Kabla hujamuoa single-mother jiulize Kwa jinsi alivyo Kama angekuwa Hana mtoto angekukubalia umuoe?
Au anakubali ili uokoe jahazi?
Wenye mapovu nimeshawazoea
Sema kwenye swala la mimba mi nitawalaumu wanawakeTusiwalaumu single mothers. Hawakujitia mimba wenyewe.
Slogan yetu iwe 'USIZAE NA MWANAMKE USIYE NA FUTURE NAYE'.
Kama huna lengo la kuishi naye baadaye, usimtie mimba. Kwa sababu hakuna mwanaume atakayekuwa tayari kuoa mwanamke aliyezalishwa.
Tukishajizatiti katika hilo, hata single mothers hawatokuwepo. Kwa sababu tutawazalisha wale ambao tunajua tutadumu nao.
Kwako Studio.
NakaziaWanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Uhalisia ni kila mtu anaongea point kulingana na anachokifikiria,Mimi naona unawakosea kwasababu hamna mwanamke ambae anapenda kuwa single mother, ni huenda kuna mwanaume alimuahidi ndoa afu akachomoka.
Pia wanaume wengi sikuhizi wanatabia ya kuwaambia dada zetu kuwa tuzae kwanza mambo yakikaa poa nitakuoa.
Mimi naona ni kuangalia tabia ya mtu, kama ana tabia mbovu achana nae.. ila unaweza enda oa bikra wako na akakusumbua ukaona afadhari ya yule single mother.
Faida za kumpa stara single mother anaejielewa
1. Atakuheshimu sana maana umemstiri
2. Baraka na riziki za yule mtoto zitapitia mikononi mwako.
3. Utapata baraka hata kutoka kwa Mungu kwa kumlea yule mtoto na kumfanya asijihisi kua hana baba.
4. Umesaidia kizazi kijacho kujifunza kutoka kwako kutokumuhukumu mtu kisa alizalishwa.
5. Itasaidia watoto wa kike kupunguza kutoa mimba
Tusihukumu wote, tuangalie chanzo cha yeye kuwa single mother kwanza, tabia zake, jinsi anavyokufanya ujisikie kama mwanaume, jinsi anavyokuheshimu, baraka zake maana kuna wanawake wengine wananyota yani ukiwa nae tu unatajirika, nk