Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ndo ukweli, vingine vyote ni ubinadamu tuKheri ya Mwaka Mpya
Vijana ambao hamjaoa, Kaka yenu Jokajeusi anasema msioe single-mother hata Kama mmeshikiwa bunduki.
Singel mother hasa waliozaliwa miaka kuanzia ya 90 mpaka sasa hao achaneni nao kabisa. Mkiwaona wapeini moyo, wasapotini kwenye vibiashara vyao na kazi zao ili wapate walau pesa za kujifariji, Ila kamwe msithubutu kuwaoa. Ni shimo refu Sana lenye Giza ambalo kutoka humo ni ngumu.
Ukifikiria kuoa single mother sharti ufikirie Yafuatayo;
1. Mzazi mwenza
Je uutamudu mawasiliano Yao.
Je upo tayari kukubali uwepo wa mzazi mwenza kwenye ndoa yenu?
Je upo tayari kusikia pesa hii imetoka Kwa mzazi mwenza wa Mkeo?
2. Kumtunza Mtoto uliyemkuta
Je upo tayari kumtunza Mtoto asiyewako?
Kama hauko tayari unafikiri Mkeo atafurahi mtoto wako awe anasoma shule nzuri, anavaa vizuri wakati Mtoto wake Kwa mzazi mwenzake (mume mwenza) hapendezi na anasoma shule Mbaya.
Au je utavumilia mtoto wako huwezi kumhudumia anasoma shule Mbaya na anavaa marapurapu alafu wakati huo mtoto wa mume mwenza akiwa anapendeza ndani ya nyumba yako?
3. URITHI
Je unafikiri ukifa Mkeo atakubali mtoto wake aliyempata nje ya ndoa akose Mali Kwa kisingizio chochote kile?
Ikiwa tuu wanawake wanang'ang'ania Mali ambazo wamezikuta Kwa waume zao wakidai wapewe nusu Kwa nusu unafikiri watakubali?
Kama unafikiri hivyo jua wewe bado mtoto Sana kuwafahamu Wanawake.
Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.
Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.
Msioe single-mother ni hatari Kwa maisha yenu.
Ujanani utateswa na wasiwasi WA mzazi mwenza kisha uzeeni utateswa na karaha za watoto wa kambo hasa wa Zama hizi.
Kikawaida wanawake wengi hupewa mimba na wanaume waliowapenda au wenye hadhi waitakao na kukubali kuolewa na watu wasiowapenda na wenye hadhi ya chini Kabisa.
Kabla hujamuoa single-mother jiulize Kwa jinsi alivyo Kama angekuwa Hana mtoto angekukubalia umuoe?
Au anakubali ili uokoe jahazi?
Wenye mapovu nimeshawazoea
Matokeo bado 2-1Kuna mmoja nilikuwa nae, alikuwa ameachika akiwa na mtoto mmoja, kila nikitaka kumwacha ananing'ang'ania, anakuja analia kweli kweli eti ooh nimekuzoea, Mara aje na huyo mtoto wake, nikajihisi kabisa sitaweza kuwa na mke ambaye anamtoto wakati Mimi ni kijana mdogo 26yrs.
Nikamweka wazi lakini wapi ananiletea napiga. Daah akapata ujauzito, akaona ndiyo tiketi ya Mimi kumuoa, niliumia Sana, nafsi ilinisuta Sana mungu anisemehe kwa yote yaliyoendelea kwa kweli, lakini sikuwa tayari kumuoa. Na Mimi nikawa single father
Ukweli ni kwamba, mwanaume hana maamuzi hata chembe ya kumzalisha mwanamke, na mwanamke asipotaka kuzaa hata ufanye nini HATAZAA...Tusiwalaumu single mothers. Hawakujitia mimba wenyewe.
Slogan yetu iwe 'USIZAE NA MWANAMKE USIYE NA FUTURE NAYE'.
Kama huna lengo la kuishi naye baadaye, usimtie mimba. Kwa sababu hakuna mwanaume atakayekuwa tayari kuoa mwanamke aliyezalishwa.
Tukishajizatiti katika hilo, hata single mothers hawatokuwepo. Kwa sababu tutawazalisha wale ambao tunajua tutadumu nao.
Kwako Studio.
Hahahahahah single Daddy wanasema kitaeleweka tu😂Na ambao hatujaolewa tusiolewe na ma single daddy ama ?
Ha ha ha ukiona hivyo ujue imepigwa mshonoMada kama hizi zinavuruga sana watu, wanaandika comment ndefu ndefu. Na wanaandika kwa jazba.
Kwani kati ya mwanaume na mwanamke ni nani yuko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuhakikisha mimba haipatikani? Wanawake wengi wanajibebesha mimba kwa maksudi kama njia ya kumbana mwanaume ili amuoe, kwa hiyo usiwahurumie sana single mothers wengi wamejitakia, wana misemo yao wanaambizana "mwanamke leba" kisha wanabeba beba mimba tu bila mpangilio.Tusiwalaumu single mothers. Hawakujitia mimba wenyewe.
Slogan yetu iwe 'USIZAE NA MWANAMKE USIYE NA FUTURE NAYE'.
Kama huna lengo la kuishi naye baadaye, usimtie mimba. Kwa sababu hakuna mwanaume atakayekuwa tayari kuoa mwanamke aliyezalishwa.
Tukishajizatiti katika hilo, hata single mothers hawatokuwepo. Kwa sababu tutawazalisha wale ambao tunajua tutadumu nao.
Kwako Studio.
Pesa ndo kila kitu mkuu umenenaNaomba ntakujibu kwa visa Joka maana kuishi kwingi kuona mengi:
1. Kuna polisi kaibiwa mke ambaye alimuoa akiwa vizuri tu, ila akatokea mtu huko akamuiba na mke akahamia kwake. Jamaa kaelekezwa alipo mkewe kamfata kampata ila maelezo ya mke ni kwamba, nifanye itakavyokupendeza ila sikutaki tena. Polisi sasa hivi kakubaliana na hali kaachana nae amemove on ila hakuamini kabisa kilichotokea maana mwanamke alimkuta akiwa vizuri
( Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake hawaachani miaka na miaka)
2. Mzee mwenzangu aliwekewa mtego akanaswa, alishikiwa bastola kwa kosa la kutembea na mke wa mtu, akabebwa mkuku mkuku chini ya ulinzi na njemba mpaka dukani kwa mke wa jamaa, mke kaulizwa unamfahamu huyu akajibu namfahamu ndio na hajui kama nimeolewa ila natembea nae ndio, akamgeukia mumewe akamwambia wewe si upo busy, utajua mwenyewe. Mwenye mke akaona hapa ntaua wangapi? Mzee akaachiwa kuna siku akatafutwa akaombwa msamaha na fidia juu za usumbufu na mwenye mke akakiri mkewe hajatulia amebadilika na kuwa malaya. Tupo na mzee mtaani tukila mvinyo na jamaa mwenye mke kabla ya fumanizi alijua ana mke kweli.
(Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake na kamwongezea mtoto hawaachani miaka na miaka)
3. Kuna mtu yupo na mwanamke aliyezaa watoto 3 alimnyang'anya jamaa huko alikuwa njaa njaa hawezi kuimudu familia.
Jamaa kazaa na mkewe watoto 3, sio kamkuta na mtoto, la ha sha, kamzalisha watoto 3 akajua ila katokea mwamba huko kamtongoza mke wake mpaka kakubali kaanza kumuhudumia mpaka mke akaona ya nn shida, akamkimbia jamaa na kuhama nyumbani.
Watoto wa jamaa wapo nje huko wanasoma kwa fedha za mume mpya.
jamaa ukimpa hii hadithi ya single mama ndo wenye tatizo hatakuelewa maana mkewe(Shemeji yake kwa sasa) ni mwanamke na nusu ila ameshawishiwa na ametulizwa na mwanaume mwingine.
(Ila nina Ndugu yangu yupo tu na single mother wake na kamwongezea mtoto hawaachani miaka na miaka)
HITIMISHO
Vijana ambao hamjaoa tafuteni ukwasi muweze kuzitunza familia na mwanamke akuheshimu lakini la muhimu ni kuomba sana usikosee kuoa.
Achana na formula, hakuna formula ingekuwepo kila mtu angeandikiwa aifuate. Sio kila mwenye matatizo ya ndoa alioa single mother.
Umri ungeruhusu ningehudumia single mama wengi sana halafu watoto napeleka canada huko wakasome, wana raha sana wasivyotaka kuwasikia baba zao hata kwa kulazimishwa. Nani anataka baba jina? Tena hawa wenye vitoto vya kike unamuongezea viwili avitunze kudumisha undugu.
Hapana ndugu ni kitambo, ilikuwa 2011, nilipata mwenza na Nina watoto wawili, kwasasa 2-3Duuh!!! Kwa hiyo
Matokeo bado 2-1
Fafanua point mojamoja kama alivyoeleza hapo juu mtoa mada ili kusupport maelezo yako,otherwise utakuwa unapinga kwa kuhisi tu...Siyo wote walio oa single mothers wanapitia hizo changamoto bhana! Wapo wadau wengine wanafaidi kweli kweli mapenzi ya hao single mothers, huku wakiwa hawana mgogoro wowote ule kwenye ndoa/mahusiano yao.
Hivyo mimi nashauri vijana waoe wanawake wa maisha yao. Utakuwa ni ufala mkubwa sana kuacha kuoa single mother ambaye ni wife material, halafu badala yake ukaenda kumuoa Asha Ngedere ambaye muda wote kyupi iko mkononi! Kisa tu hana mtoto.
Nyie ndiyo mnaochochea matumizi ya P2 na abortion.Kheri ya Mwaka Mpya
Vijana ambao hamjaoa, Kaka yenu Jokajeusi anasema msioe single-mother hata Kama mmeshikiwa bunduki.
Singel mother hasa waliozaliwa miaka kuanzia ya 90 mpaka sasa hao achaneni nao kabisa. Mkiwaona wapeini moyo, wasapotini kwenye vibiashara vyao na kazi zao ili wapate walau pesa za kujifariji, Ila kamwe msithubutu kuwaoa. Ni shimo refu Sana lenye Giza ambalo kutoka humo ni ngumu.
Ukifikiria kuoa single mother sharti ufikirie Yafuatayo;
1. Mzazi mwenza
Je uutamudu mawasiliano Yao.
Je upo tayari kukubali uwepo wa mzazi mwenza kwenye ndoa yenu?
Je upo tayari kusikia pesa hii imetoka Kwa mzazi mwenza wa Mkeo?
2. Kumtunza Mtoto uliyemkuta
Je upo tayari kumtunza Mtoto asiyewako?
Kama hauko tayari unafikiri Mkeo atafurahi mtoto wako awe anasoma shule nzuri, anavaa vizuri wakati Mtoto wake Kwa mzazi mwenzake (mume mwenza) hapendezi na anasoma shule Mbaya.
Au je utavumilia mtoto wako huwezi kumhudumia anasoma shule Mbaya na anavaa marapurapu alafu wakati huo mtoto wa mume mwenza akiwa anapendeza ndani ya nyumba yako?
3. URITHI
Je unafikiri ukifa Mkeo atakubali mtoto wake aliyempata nje ya ndoa akose Mali Kwa kisingizio chochote kile?
Ikiwa tuu wanawake wanang'ang'ania Mali ambazo wamezikuta Kwa waume zao wakidai wapewe nusu Kwa nusu unafikiri watakubali?
Kama unafikiri hivyo jua wewe bado mtoto Sana kuwafahamu Wanawake.
Wanawake ni wabinafsi kuliko kiumbe yeyote hapa ulimwenguni.
Mwanamke kitu pekee anachoweza kukipenda Kwa moyo wote ni mtoto/watoto aliowazaa MWENYEWE.lakini kamwe hawajawahi kumpenda mwanaume Kwa moyo wao wote.
Wanawake watakupenda Kwa matarajio Fulani, labda kama anaona kuna future zuri mbele yenu basi atakupenda Kwa future hiyo ndio maana wanaume mnashauriwa kuwadanganya wanawake kuwa mambo yatakuwa mazuri wasijali.
Mwanamke hawezi kukupenda kamwe Kama akigundua matarajio yake ya maisha mazuri hayapo. Labda awe mama Yako mzazi.
Msioe single-mother ni hatari Kwa maisha yenu.
Ujanani utateswa na wasiwasi WA mzazi mwenza kisha uzeeni utateswa na karaha za watoto wa kambo hasa wa Zama hizi.
Kikawaida wanawake wengi hupewa mimba na wanaume waliowapenda au wenye hadhi waitakao na kukubali kuolewa na watu wasiowapenda na wenye hadhi ya chini Kabisa.
Kabla hujamuoa single-mother jiulize Kwa jinsi alivyo Kama angekuwa Hana mtoto angekukubalia umuoe?
Au anakubali ili uokoe jahazi?
Wenye mapovu nimeshawazoea
Umezungumza ukweli, nakumbuka kuna siku nimewahi changia mada kama hii nikawa kunyume.Hizo ni sababu zako wewe,nitaoa single mother mke wa kwanza,nitaoa single mother kama mke wa pili hadi wafike wanne.
Single mother wengi wanajitambua kikubwa kama mwanaume timiza wajibu wako,kama ameachana na mwanaume wake jua kuna kitu kilikua hakipo sawa,na mpaka anakubali kuolewa na mwanaume mwingine basi kuna kitu ameona kipo sawa,
Nchi za wenzetu wanawake wanaolewa kwa mikataba,anaweza olewa na wanaume hadi kumi na kuachika.