Uhalisia ni kila mtu anaongea point kulingana na anachokifikiria,
Binafsi naamini hakuna baya au zuri, ila swala ni kuwa utalitafsirije??
Ukioa single mother unaweza ukakasirika sana au ukafurahia sana uamuzi wako, kuna anaejifunza kuwa wanaume wengi sie ni mbuzi na kuna anaejirengesha kwa aliemzaridha
Sikuzote hakuna kitu kinachoua ndoa kama upendo, haijarishi kaolewa ama hajaolewa upendo ukiangukia kwa mwanaume mwingine ambae sio ww hapo ndo shida,
Katika kuishi katika dunia hii hakuna mtu anaeweza pindua meza kwa aliemuacha, kama single maza aliachwa yeye pale alipopenda basi hilo jinamizi litamuandama maishani kwake kote na jamaa akijileta kwa singo mama wako hatochomoa,
We(mwanaume) jaribu tu kuwazia dem uliempenda kulko kawaida na dem akakuacha ukakaa wiki2 unamuwaza tu na roho inakuuma af baada ya mwez ukaanza kumsahau na kadi miaka inavyoenda ukamsahau, akijileta leo lazma ule moyo wa zamani utajijenga haraka sana, na ndo apo single mama wanapoangukia, especially kama anamtoto wa hyo njemba
Labda tu tuseme awe amekupenda wewe zaidi