Unaweza ukalichukua poa poa hili swala Ila litakapokukuta ndio utanielewa vizuri ujue zamani mwanaume ata kama Wote mlikuwa wafanyakazi wa serikali kulikuwa kuna ule urahisi wa mwenza wako kuhamia kikazi pia mahali ulipo kutokana na ile capacity ya chance tofauti na Sasa kuomba uhamisho si jambo rahisi rahisi kama zamani
Inatokea unahamishiwa kikazi dodoma Baada ya mwezi unahamishiwa Tena iringa Sasa Sijui iringa huko pia utahama nae
Pia nitoe rai kwa kijana unaeoa siku za hivi karibuni haswa wa mtu serikali aidha kampuni zenye matawi mbalimbali Tanzania jiandae kisaikolojia kulikabili hili swala unaweza ukaliona ni jambo jepesi Lina heka heka zake
Imagine mkeo anahamishwa kikazi na huna cha kufanya😂(utasikia anakwambia anaenda headquarter ndo mgogoro nafsia inakuwa mingi)
Kuna mengi huwa yanayotokea juu ya hili swala naomba kuwasilisha
"Uvumilivu ndio ngao walioko kwenye ndoa nawapa salamu zao"
All in All kazi iendelee lakini pia people's power