Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
hapo mwisho umechanganya madawaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuwatisha waume zetu mkuu!90%ya wake za watu wanaoliwa kimasihara wanaishi mbali na waume zao
Sina Chama mkuu sio mccm sio mcdm 😂maana humu jamii forum tumo watu wenye itikadi mbali mbalihapo mwisho umechanganya madawaa
Kusamilia= kusalimia.Ungesema ni kada Gani zinachangamoto za aina hiyo kuliko kuja na conclusive imagination,Mimi nimeoa mke mwalimu Sasa ni 20 years sijawahi kuwa mbali na mke wangu hata mita 100 tofauti na pale anapoenda kwao mbeya kusamilia na Mimi kwenda shinyanga kusamilia
Mwanaume upo tayari uache kazi umfuate mkeo??Kanuni ni Ile Ile tu
Ikizidi miezi mitatu
Tafuta wa kujiliwaza nae.
Maumivu yakizidi mmoja
Aache kazi, amfuate mwingine
ukweliAcha kuwatisha waume zetu mkuu!
KmHiiiiiiiiiii sa kazi na km kweli utachagua km??? Acha basi
📌 Hii ni kweli aisee wanakatwa balaa90%ya wake za watu wanaoliwa kimasihara wanaishi mbali na waume zao
Mama J hajambo?Wanawake waajiriwa
1. Wanathamini Kazi zao kuliko ndoa zao.
Mf: -Anaweza katisha tendo la ndoa,kisa anahitajika na boss kazini. Na huna la kumfanya.
2. Wanawaheshimu maboss wao kuliko waume zao.
Mf:
-Anaweza kusubirisha sim Yako,Ili apokee sim ya boss wake
-anaweza kukustopisha usiendelee kumfanya mapenzi, ili apokee kwanza sim ya boss wake. Na wataongea masaa.
3. Wako tayari kuvunja ndoa zao, Ila sio kupoteza Kazi zao.
Mf: Boss wake akimtaka kimapenzi, kumchomolea nje Ni ngum Sana. Yuko tayar kurisk Ndoa
Km hailipi bills
Ila inaleta raha, kwani msosi unalipa bills?Km hailipi bills