Kuolewa na mwanaume amaizing ilikuwa ni matamanio ya kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia

kumbe weye ntu nke
 
Ambao hatuna kazi/hatuna wa kutusapoti unatushaurije Bro?
Mimi kama baba, nitamsapoti binti yangu/wanangu hadi pale watakapo weza kujitegemea.
Naomba tu Mungu anipe uzima na afya njema
 
Wamekusikia
 
ukianza kuwaza hivi ujue umri wako umesogea kidogo.Maana ndiyo busara huwa zinaongezeka.Ila bahati mbya lile kundi linalothirika sana hawana interest na mambo ya baadaye,sijui kuandaa future etc
 
Mimi kama baba, nitamsapoti binti yangu/wanangu hadi pale watakapo weza kujitegemea.
Naomba tu Mungu anipe uzima na afya njema
Ameen, na kwa hakika utawaepusha na mengi
 
Una akili timamu, tatizo unakuta wanawake wengi bado wana akili mgando na hawana kabisa haya mawazo na hiki ndicho kinachotuangusha wanaume wengi. Unakuta una mwanamke mzuri lakini hana mchango wowote katika maisha yako zaidi ya kupanua tu miguu tena akiwa kalala hana hili wala lile. Yaani wavivu mpaka kitandani wakati ameshinda nyumbani siku nzima anaangalia series za Tele Novela ama za Kikorea. Wanaume tunashindwa tu kuwaambia wake zetu kwani hatutaki malumbano, hivyo tunatafuta nyumba ndogo kuondoa stress mnazotupa.
 
Ndugu yangu umenena vyema kabisaaaaa. Ila ukweli kuwa nature uwezi pingana nayo, Mind ya mwanaume na mwanamke zipo tofauti zinafanya kazi tofauti kabsa. Japo exceptions zipo ila ni katika kiwango kidogo sana. Ndio maana unachofikiria wewe mwanamke hawez fikiria.
 
Ndugu yangu umenena vyema kabisaaaaa. Ila ukweli kuwa nature uwezi pingana nayo, Mind ya mwanaume na mwanamke zipo tofauti zinafanya kazi tofauti kabsa. Japo exceptions zipo ila ni katika kiwango kidogo sana. Ndio maana unachofikiria wewe mw
Kuna siku moja demu wangu aliniacha hoi kwa mshangao na hii siwezi kusahau mpaka siku nakufa. Tulikuwa tunakwenda kwenye harusi ya rafiki yangu, nikamwambia demu siku nne kabla ili ajiandae. SIku ilipofika alikuja nyumbani kwangu kujiandaa na nikamuacha anajiandaa kwa masaa kama 5 hivi. Tunaondoka nyumbani tuko nusu ya safari ananiambia eti kasahau kitu nyumbani, nikakasirika na kumuuliza kwa hasira masaa yote ulikuwa unajiandaa iweje umesahau hicho kitu? Ikabidi nigeuze gari mpaka nyumbani, tunafika nyumbani eti anakwenda kupaka lipstick nyingine na kufuta ile aliyenayo huku akijiangalia tena kwenye kioo. Yaani nimeendesha gari kwenda kwenye harusi tulikuwa hatuongei njiani. Yaani mtu unavunja safari kwa ajili ya kupaka lipstick tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…