Kuolewa raha!

tunaomba pia hiyo ndoa yako ikiwa ndoano uje utupe raha yake
 

Broadcasting everything about your marriage despite the fact that unatudanganya,shows how pathetic and delusional you are.You are a disgrace to all well-mannered and married women.
Endelea kutuletea episodes,sisi wazee wa Netflix ratings kama kawa.
 
Nawewe unamuamini huyu mwenye attention seeking disorder?
wenye ndoa zao wako kimya tu, huyu isidingo. Ukiyasoma mabandiko yake utamuelewa vizuri, nothing but complete and utterly crap!!
Ndo najaribu kumuelewa nashindwa
 
Subiri balaa la mvua liishe afu, mwambie akutoe out maeneo ya Sinza Mori usiku, weekend moja, afu uturetee mrejesho tuone!
 
Moniccca kutokana na mada zako kwa wenye uelewa wamegundua kwamba hizi ni ndoto zako unaziota na kumuomba mungu akupe mume kutokana na stress za umri kwenda halafu hata mchumba bado hujampata.usikate tamaa kumuomba mungu ipo siku atakusikia kilio chako.asante.
 
Nna hakika hapa hamna ndoa tulivishwa gunia la chumvi, ukute ,hata baiskel hamna ,kupika ni kuni, monicca huishiwi vituko, ila kama ni ndoa kweli basi maigizo mnayaweza
 
Nna hakika hapa hamna ndoa tulivishwa gunia la chumvi, ukute ,hata baiskel hamna ,kupika ni kuni, monicca huishiwi vituko, ila kama ni ndoa kweli basi maigizo mnayaweza
Yote maisha mkuu, kama unataka kazi ya uhouse boy karibu Mimi na mume wangu tunahitaji kijana wakutupikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…