Mimi sina mume. Nasali hapa nimpate kama wa kwakoKesho Dada muda huu ni wakumpakulia mume bajua wewe huna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina mume. Nasali hapa nimpate kama wa kwakoKesho Dada muda huu ni wakumpakulia mume bajua wewe huna
Nawewe unamuamini huyu mwenye attention seeking disorder?Mimi sina mume. Nasali hapa nimpate kama wa kwako
Haya jamani mimi nalala mume wangu ananisubiri tupeane maraha....pole kwa wale wenye ndoa ndoano..maana mwingine amehama chumba..mwingine bado yuko bar..mwingine amenuna mpaka domo linaburuza chini..mwingine anavizia mke alale amnyatie housegirl....mwingine anakumbuka mchepuko wake..mwingine anakumbuka bafuni nasabuni kujichua..mwngne amekupambatia mto..basi vuluvulu kila kona lkn mie monii naponda raha na my mume hahaha...asante mungu
Ndo najaribu kumuelewa nashindwaNawewe unamuamini huyu mwenye attention seeking disorder?
wenye ndoa zao wako kimya tu, huyu isidingo. Ukiyasoma mabandiko yake utamuelewa vizuri, nothing but complete and utterly crap!!
Wewe jilalie zako wenzio tumeshamzoea chizi wetu.Ndo najaribu kumuelewa nashindwa
Subiri balaa la mvua liishe afu, mwambie akutoe out maeneo ya Sinza Mori usiku, weekend moja, afu uturetee mrejesho tuone!Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,
Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,
Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,
Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?
Ni full raha, yaani raha.
Asante mume wangu.
Fanya summary kwanza bhana refu sana limenishinda kusoma halafu hakuna mvuto
Rafiki pamoja na yale mamia ya PM ambazo huwa unapokea bado hujapata mume jamani?Mimi sina mume. Nasali hapa nimpate kama wa kwako
Bado rafiki...hata pm sipati.Rafiki pamoja na yale mamia ya PM ambayo huwa unapokea bado hujapata mume jamani?
Moniccca kutokana na mada zako kwa wenye uelewa wamegundua kwamba hizi ni ndoto zako unaziota na kumuomba mungu akupe mume kutokana na stress za umri kwenda halafu hata mchumba bado hujampata.usikate tamaa kumuomba mungu ipo siku atakusikia kilio chako.asante.Haya jamani mimi nalala mume wangu ananisubiri tupeane maraha....pole kwa wale wenye ndoa ndoano..maana mwingine amehama chumba..mwingine bado yuko bar..mwingine amenuna mpaka domo linaburuza chini..mwingine anavizia mke alale amnyatie housegirl....mwingine anakumbuka mchepuko wake..mwingine anakumbuka bafuni nasabuni kujichua..mwngne amekupambatia mto..basi vuluvulu kila kona lkn mie monii naponda raha na my mume hahaha...asante mungu
***Worryout j33, I will display each and everything here as this is the only place where I met my lovely husband.
Yote maisha mkuu, kama unataka kazi ya uhouse boy karibu Mimi na mume wangu tunahitaji kijana wakutupikia.Nna hakika hapa hamna ndoa tulivishwa gunia la chumvi, ukute ,hata baiskel hamna ,kupika ni kuni, monicca huishiwi vituko, ila kama ni ndoa kweli basi maigizo mnayaweza
Yes moniccca nataka kazi ya house boi/ shamba boi,kutoka kushoto mume wa moniccca ,mtoto, monnica alafu kulia ni mm boyYote maisha mkuu, kama unataka kazi ya uhouse boy karibu Mimi na mume wangu tunahitaji kijana wakutupikia.
Mimi kulia alafu wewe ndio mama af mtototo af kushoto mmeoHahahahaha! Wewe ndo yupi hapo?