wiki iliyopita katoa rushwa ya ajira elfu 13 za walimu, jana katoa rushwa ya ujenzi wa barabara wakati akifanya kampeni. NEC kimya!Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Kama na wewe ni mgombea na wewe omba kura kwa lugha yako hakuna shida.Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Hii ni lugha ya kanda ya ziwa. Ni lugha ya pili ya taifa hapo upo?Hili kabila nao la hovyo sana
SHERIA GANI YA NCHI INAZUIA MTU KUSEMA LUGHA YAKE ? AU MNAKURUPUKA KWA KUKOSA CHA KUANDIKA ? JOSEPH KASHEKU MSUKUMA BAADA YA KUONA KUNDI KUBWA LILILOPO MBELE YAKE HALIELEWI VIZURI KISWAHILI AMETUMIA LUGHA YA KWAO KUWAFIKISHIA UJUMBE NA UJUMBE UMEFIKA KOSA LIKO WAPI?Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka...
Kampuuze mama yako aliyekuzaa na mtindio wa ubongo!Siwezi kukulaumu Kwa sababu pia wajinga nao ni binadamu, nao ni wa mhimu, Kwa kuwa watu wooote duniani wangekuwa welevu, Neno Ujinga lisingekuwepo, lakini lipo Kwa kuwa wajinga kweli Wapo, Wewe ni mmoja wa hao wajinga wasioelewa hata maana ya kile mtu ameuliza,
Yaani hata hapo hjaelewa?
Ongeza lishe labda unaweza kuondokana na upumbuvu wa udumavu wa uelewa, nimekupuuza rasimi sasa!
mtumbwi ukianguka hauangalii ni nani alikuwa dereva..., wote waliomo wanaloa maji....,Tulieni Dawa Iwaingie Kwani Ubaya upo wapi nyie Mbona mnaongea Kingerezaaa
Kabila sio baya ila Ukiongezea U kwenye kabila ndio shida, na si kabila tu chochote kinachotenga wao na sisi kwa kuweka umimi au usisi kwenye jamii ndio mwanzo wa chuki na utenganoIla nani alitumbia Ukabila ni mbaya?
Kwa akili yako hii unaona kawaidaKwa hiyo hii nayo umeona hoja ya kuibua na kuianzishia uzi? Mtu kuuliza kuwa itakuwa ajabu kutochagua mtoto wa nyumbani ni kosa?
Kwani pale alikuwa kwenye kampeni? Pale alienda tu kusalimia nyumbani baada ya kurudi toka UbelgijiKilichofanyikaga pale singida mh Lisu akiongea na Wanyaturu kilikuwa ni Kiswahili kweli kile?
Kuwa "mnamwachaje mtoto wenu na kuchagua wageni" ni sawa maneno haya ya kibaguzi kwenye kampeni?Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu. Acha tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Pigia mstari kabisa!Kasema hivyo ?