M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
wiki iliyopita katoa rushwa ya ajira elfu 13 za walimu, jana katoa rushwa ya ujenzi wa barabara wakati akifanya kampeni. NEC kimya!Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
hapa itafutwe intervention kutoka UN hakuna namna.